MITANDAO mbali mbali ya Kijamii Nchini
marekani, ilianza kutoa taarifa kuwa Mariah Carey (45) hivi sasa ni mjamzito.
Lakini kama haitoshi, jamaa ambaye alitajwa
kuhusika na Ujauzito huo, ni Billionea JAMES PACKER, tajiri ambaye anamiliki
CASINO mbali Mbali Nchini Marekani.
Lakini Baada ya taarifa Hizo Kuzagaa na hata
kupambwa haswa, hatimaye Mtandao wa Gossip Cop ulifyatua jibu kuwa, Carey na
Mpenzi wake huyo , hawatarajii kupata Mtoto yeyote, na taarifa ambazo zinazidi
kusambaa, hazina ukweli wowote.
Mariah carey ambaye Hivi sasa ana watoto
wawili wenye Umri wa Miaka 4, alianzisha mahusiano yake na James Packer, ikiwa
ni baada ya kuachana na Mumewe wa Ndoa, NICK CANNON.
EmoticonEmoticon