Na Baba Juti
SIKU ya jana , Ulimwengu wa Mitandao ya
Kijamii ulirindima na habari za Rapper Drake kunaswa na Serena Willliams katika
hali ya Kimahaba kunako Mgahawa Mmoja Nchini marekani.
Lakini Licha ya Ukaribu huo Kupewa Baraka na
baadhi ya wadau na mashabiki wa wawili hawa, bado kuna Onyo ambalo Selena
Williams alionekana kupewa, huku akikisitizwa kuwa makini na rapper Huyo.

Moja kati ya Rafiki wa Serena, alidaiwa
kumshauri Serena kuwa, inabidi asijisahau namna ambavyo Dreezy anafanya mambo
yake.
Na Mpaka hivi sasa, Inasemekana kuwa, Mkali
huyu wa BEST I EVER HAD, bado anapenda kujihusisha na akina dada wa aina Hiyo,
jambo ambalo Serena anatakiwa kuwa nalo makini sana
EmoticonEmoticon