HATIMAYE Kesi imezaa Matunda ikiwa ni baada Ya Kanye
West na Mkewe Kim kardashian West kufungua mashtaka hayo, kufuatia kuvujishwa
kwa Video Clip yao wakati wa Kuvalishana Pete ya Uchumba.
MIAKA miwili
iliyokata, Kim na Kanye, walifungua Mashtaka dhidi ya Co- Founder wa Youtube,
Chad Hurley, ambaye inasemekana ndiye aliyevujisha Kipande hicho cha Video
Kilichorekodiwa, bila Idhini ya Wanandoa hao.
Taarifa zinazidi
kumiminika kuwa, Hurley alikuwa katika Eneo la Tukio, katika uwanja wa AT &
PARK Huko San Francisco, na alifanya Shughuli ya Kurecord kwa Siri Kubwa, na
kisha kukipost katika Youtube, kunako Kipengere chake kipya-MIXBIT.
Ingawa aliweza
kubeba Umaarufu Mkubwa Ndani ya Dakika 15 Tu, Hurley anatakiwa kusalimisha
Mkwanja huo, USD 440,000 sawa na 972,840,000 Za Kitanzania
Malipo hayo
yanatakiwa kufanyika Ndani ya Siku Chache zijazo.
EmoticonEmoticon