CHANZO: BLACK TOUCHEZ.COM
MKOA wa Singida Siku ya Leo ndo Utathibitisha
rasmi kama malkia wa Bongo Muvi Nchini Tanzania –WEMA SEPETU “Madame” atapata
nafasi ya kuzama Bungeni , ama Inakuaje.
Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo zimeshavujishwa
kunako Dawati la “Wafukuza Mapepo” Mapema Hii Leo, Wema aliwasili katika Ofisi
za Chama Cha Mapinduzi-CCM Mkoa wa Singida kwa ajili ya kufahamu Mbivu na
Mbichi katika Kinyang’anyiro Chake.
WEMA alionekana ni Mwingi wa tabasamu Lenye Hofu
, na Mpole haswa, wakati akisalimiana na wakongwe wa Chama Hicho katika Mkoa Wa
Singida, lakini ni kwa Mazingira ya kujiweka sawa ili kunyakua nafasi Hiyo.
MARTIN KADINDA :
Kwa Upande wake Martin kadinda, ambaye ni Moja
kati ya Timu Kubwa iliyoko Nyuma ya Wema Sepetu, amezidi Kumpa Moyo X-Bebe wa
Chibu dangote, kwa Kuweka hash-tags za Kumwaga, kuwa amethubutu, nab ado wengi
wanamuombea afanikiwe.
Mashabiki Pia hawajamtupa, ingawa kuna baadhi
bado wanamkosoa na hata kukumbushia yale mabaya yake, kupitia Comments kadha Wa
kadha
KILA LA KHERI WEMA SEPETU!
EmoticonEmoticon