Na Baba Juti
RAIS BARACK OBAMA na Mkewe MICHELLE OBAMA, jana
waliongoza Maelfu ya Wananchi wa MAREKANI, Kufurahia Miaka 239 Tangia Marekani Ipate Uhuru.
Moja kati ya tukio ambalo liliweza kuwafurahisha
wengi, Ni Kitendo cha Obama na Mkewe Michelle kutoa Salute kwa Jeshi la
Marekani, ambalo linapewa Heshima ya Kurejesha Uhuru na hata kuilinda Vyema
Nchi ya marekani Mpaka hivi sasa, tangia Imepata uhuru wake
Tizama Picha zaidi
EmoticonEmoticon