LINEX Mkali wa SALIMA, amefyatuka kuwa kusemwa
hajaanza kipindi hiki, Leo, Wala Jana, bali ilikuwa ni Tangu wakati yu Tumboni
kwa mama ake. Kauli hii inadhihirisha wazi kabisa kuwa, Msanii Sunday Mjeda,
Linex, hayuko katika Good Relationship na Mtu Fulani ambaye amekuwa
akimfuatilia na hata kumuombea mabaya
Mjeda
aliandika Hivi:
“Kusemwa vibaya
nilianza siku ya kwanza kabisa mama Angu aliponizaa japo wanajua kabisa mama
Angu alinizaa Kwa uchungu na alipata na mi shida miez Tisa tumboni lakini kuna
mijitu ilinisema vibaya baada ya kuniona tu nilipozaliwa Kwa mfano Khaaa!!!!!
Jamani katoto keusi Kama mkaa umekaona mimacho yake kabayaaaaaa so saiz ukinisema vibaya unapoteza time cos mi naendelea na mambo zangu
sihangaiki na mtu
Yani Kuna watu wana
roho kma izo nguo nilizovaa na hyo kofia apo chini khaaaa!!!!!!”
EmoticonEmoticon