MCHUNGAJI PANUEL Kutoka kunako Kanisa Lake la
END TIMES MINISTRIES ambalo linapatikana Nchini Afrika Ya Kusini, Wiki ambayo
Infact iliyopita, aliwalisha Nyoka waumini wake na Kuchukua Headlines Kubwa
ikiwa ni baada ya kuwalisha waumini wake Nyoka, kisa kudhihirisha kuwa, ni Amri
ya Mungu.
Kitu ambacho Kiliwashtua Wengi Ni Kwamba, Nyoka
ambao Waumini walikuwa wanakula, Walikuwa Bado HAI, yaani hawajauwa na
walitakiwa kutafunwa kama “Nyama”
Ila Kwa Mujibu wa Taarifa Nyingine, Inasemekana
Kuwa, safari Hii, Paastor Huyo ambaye awali alikuwa pia akiwakanyaga na
kutembea Juu ya Waumini Wake, aliwaamuru kuvua Ngua Zao na Kubaki watupu kama
walivyozaliwa.
Lakini Kama Haitoshi , Mchungaji Huyo aliwaamuru
Waumini Wake hao wa Kike, Kuzitafuna Nguo Hizo za Ndani kama Nyama, jambo
ambalo pia limezaa Kimbembe mpaka Hivi Sasa.
Tizama Picha Hizo zaidi hapa
EmoticonEmoticon