HUWEZI amini kama kweli Mapenzi yanazidi kutafuna Maisha ya wanafunzi hasa wa vyuo vya Elimu ya Juu Afrika mashariki.
Nchini Tanzania, Tumezoea kusikia kuwa, Mwanafunzi
Fulani wa Chuo Fulani amevujisha Video/ Picha za Mpenzi wake baada ya kuachana
ama baada ya kuachwa, ama baada ya kusalitiwa,
Nchini Kenya, inaonekana mambo hizo za kibongo
huwa hakuna, ila ukiniacha kama bado nakupenda, ninakuramba Kisu mpaka ufe ama Upone
Hii Imetokea siku Si Nyingi katika Chuo cha Moi,
ambapo Mwanafunzi wa Kike katika Chuo Hicho aliuawa na aliyekuwa Mpenzi wake
mpaka kufa katika Hostel za Chuo Hicho.
TAARIFA
KAMILI, Huyu hapa ESTHER KAHUMBI KUTOKA NCHINI KENYA.
EmoticonEmoticon