ANOTHER Ishu Tena, Imetokea kunako Instagram, na Instachocho
lazima Tukomae Nayo Piga Ua.
Ikiwa ni Mwingi wa Kuzungumza Makavu hasa kwa wale ambao
still wanamuandama na Ishu Kuvaa Nusu Utupu, na hata kunyan’ganywa Mtoto,
Safari hii Faiza amefyatuka kuwa, Wanaomchukulia yeye ni Mzee , basi wana
makengeza.
Pia faiza ameongeza kuwa, Havai Madela kama wengi
wanavyomtaka, akiwa kama mama, na Mtoto hachukuliwi Ng’oo.
ALIANDIKA HIVI:
mtoto ninae na hatoki manina zenu- na vivazi ndio
hivyo. nimecheka sana kuna bwege na mabwege wenzie wanajua mwanangu
alichukuliwa eti wanafurahia hahahahaaa mtasubiri sana na madira sivai,
mwanangu hajachukuliwa n'go na hatachuliwa kamwe!!!!!! Na vimino siachi ndio
kwanza usichana unaanza nyie mnao nione mzee mna malienge aka makengeza !!!! Oh
yeah mimi mzuri kudadeki!!!!! Kama huamini jiangalie halafu ujifananishe na mie
EmoticonEmoticon