INSTACHOCHO leo
imekutana na Post ya Kwanza kabisa kutoka kwa Shamsa Ford, The Beautiful Lady
kutoka kwa Kiwanda cha “Bongo Muvi” ambayop inamuomba Binadamu “Mnafiki” aache
kumbania Riziki Mamito Huyu.
SHAMSA FORD AKIWA NA MTOTO WAKE |
Katika Post Hiyo,
Bibie Huyo amedai kuwa, Binadam huyo
huyo, hatakiwi kufanya hivyo, ukizingatia yeye ni Mama, yaani ana Mtoto.
TUNAMNUKUU:
Nina upendo kwa kila
mtu bila ubaguzi.naishi maisha yangu halisi wala siigizi.Nina huruma kwa kila mtu.Sipendi
ugomvi na mtu.Nakuomba na ww binadamu kabla hujafikilia kunibania riziki yangu
kumbuka nina mtoto ambae anahitaji hiyo riziki.WW binadamu kabla hujanifanyia
ubaya wowote kumbuka nina Mtoto ambae kitamuumiza zaidi ya mm coz furaha yake
ni kumuona mama yake.WW binadamu kabla ya kutaka kuniumiza na kutaka kunipa
stress za kijinga naomba umfikilie mwanangu ambae ananitegemea mm.ukinipa
stress nitashindwa kufanya kazi na mwanangu atakosa haki zake za msingi.Naomba
ww binadamu USINITESE,USINIUMIZE,USINILIZE .kama sina thamani yoyote kwako
naomba ukae mbali na mm kuliko kuwa mnafiki kwangu au kwa ajili ya masilahi
yako binafsi....
EmoticonEmoticon