BLACK TOUCHEZ BLOG
MNAMO mwaka 1994, Rapper Nas alikuwa na Project
iliyokuwa ikifahamika kwa jina la ILLMATIC, na safari Hii binti ake ameamua
kuanzisha LIP GLOSS (Tumezoea LIPSTIC) yenye jina kama hilo hilo
Kupitia account yake ya Instagram, NAS aliweza
kupiga Promo kuhusu kuanzishwa kwa kampuni mpya ya Binti ake huyo anayekadiriwa
kuwa na miaka 20, ambayo itakuwa inatengeneza make Up mbali mbali pamoja na Lip
glossy hiyo ya ILLMATIC
Aidha inasemekana kuwa, Binti huyo aliamua
kuiita lip glossy hiyo jina la Mkwaju wa baba ake kwa sababu ni moja kati ya
nyimbo anazokubali kupita maelezo.
EmoticonEmoticon