·
MISS
TANZANIA NA SITTI MTENVU
Sitti Mtemvu alichaguliwa kuwa Miss Tanzania, na
kamati ya Hashim Lundenga kama waandaaji wa mashindano hayo. Lakini watanzania
wengi hawakukubaliana na Uteuzi huo, jambo ambalo liliwafanya kufanikisha
Uwongo na Uozo wa Sitti Mtemvu ;
- · Sitti Mtemvu alikutana na madai yafuatayo.
- Kudanganya Umri
- · Rushwa/Kufahamiana/Nepotism Baina ya Lundenga na Abas Mtemvu-Baba Mzazi wa Sitti (Inasemekana hivyo ingawa hatuna uhakika na haijathibitika)
- · Kuwa na Mtoto
Lakini hayo yote yalimalizika baada ya Bibie
huyu Kuvua taji hilo na Kukabidhiwa Miss namba Mbili, Lilian…lakini Mashindano
hayo yamepigwa Stop na Serikali kwa Miaka Miwili.
Hata Hivyo Sitti alikanusha Taarifa hizo
·
LAVEDA
KUJICHUWA:
Laveda, Mshiriki wa Big Brother Africa Hotshots
aliyekuwa akiiwakilisha Tanzania, aliingia kunako Hot Skendo, kwa madai kuwa
alijichuwa “Yaani Masturbation” katika Jumba hilo
Tukio hilo liliweza kuvuma sana kwa Mwaka 2014,
huku wengi wakionekana kumlaumu sana Laveda kuhusu Ishu Hiyo, kuwa
amelidharirisha taifa
·
FAMILIA
YA MBASHA:
FAMILIA Emannuel Mbasha na Mkewe Flora Mbasha,
iliingian katika Skendo kali ikiwa ni Baada ya Kutokea tuhuma za Ubakaji
zilizofanywa na Emanuel Mbasha
Emannuel
Mbasha: alidaiwa kumbaka Shemeji yake (Mdogo wa Flora
Mbasha), Jina lake tunalihifadhi na kuanza kusakwa Mara kadhaa na jeshi la
Polisi.
Emannuel alifunguliwa Kesi yenye Kumbukumbu Na.
TBT/RB/3191/2014 na Jarada la Kesi TBT/IR/1865/2014 na kudaiwa kufanya ubakaji
huo mara Mbili (ijumaa na Jumapili) Nyumbani kwake Tabata Kimanga DSM
Flora
Mbasha alijikuta akizama kunako skendo hatari ya
kuishi kwa Mchungaji wake, Mchungaji Gwajima, huku ikisemekana kuwa, wamekuwa “Wakidandiana”,
hali ambayo ilimfanya Emmanuel Mbasha, Mume wa Flora amsihi Mchungaji huyo
aachane na Ndoa yake
Tunamnukuu:
“Nimesika mke wangu baada ya matatizo yetu
amehamia nyumbani kwa Gwajima. Nataka mumwambie Gwajima aniachie mke wangu,
mbona ananifanyia hivyo?”
Lawama nyingi zilitoka kwa Emmanuel kuhusu Flora
“Kudandiana” na Mchungaji Gwajima, madai ambayo Flora Mwenyewe aliyakataa na
kusema mumewe huyo anafanya hivyo maksudi