NA
FRANK M. JOACHIM
IN
CASE weye Msanii haukubali sehemu ya kazi zako ambazo umeshawahi kufanya, basi “You
are Wrong” sana kuhusu Rehema wa Chalamila, Iko Hivi……..
Kuna Mikwaju kibao sana ambayo Ray C aliweza
kufyatua enzi hizoooooo..akiitwa “Kiuno Bila Mfupa” (Sasa hivi, mhhhhhhhhh), na
aliweza kufanya “vere-guuud” kunako soko la Muziki wa kizazi kipya kabla akina
Linah na akina Recho hawajaingia.
Moja kati ya “noma” ambazo alisumbua nazo sana,
ni pamoja na SIKUHITAJI, UKO WAPI, MAHABA YA DHATI, NA WEWE MILELE, MAPENZI
MATAMU, na Nyinginezo Nyiiingi sana
Sasa Kupitia Istagram account yake, Ray C ambaye
this Time amejikita zaidi na harakati za kupiga Vita madawa ya Kulevya hasa kwa
Vijana, amesema kuwa, Ngoma ambayo Anaikubali mpaka hivi sasa, ni NA WEWE
MILELE.
Cheki alichokiandika hapa:
EmoticonEmoticon