Na Frank M. Joachim
INGEKUWA hapa Nchini Tanzania, Kiukweli ninaapa ningefurahi sana hasa kwa wale “Vichenchedaz” ambao wanapenda sana kupiga Picha zaUtupu na hata kuvuja kunako mitandao mbali mbali ya kijamii.
·
Tuhamie
Uganda.
Msanii
Desire Luzinda ambaye hivi sasa amechukua Vichwa vya Habari vingi sana kila
Sekta hasa kunako mkitandao ya Kijamii, baada ya Ex-boyfriend wake kuvujisha
Picha zake za Utupu, huenda “akagongwa” nyundo ya Kutumikia Kifungo cha miaka
10 Jela, endapo tu atapatikana na hatia ya kuvuja kwa Picha zake za “Pilau”
yaani Utupu.Waziri wa Masuala ya maadili Nchini Uganda, Padre Lokodo, ambaye masiku machache alimpiga “lock” jombaa mmoja nchini humo kwa Kuachia Mkanda wa Ngono, ameonekana kuelekeza Jeshi la Polisi kumhoji vilivyo Msanii Dezire Luzinda.
Kama utakuwa ni “Veri-Strict” kwenye masuala ya Burudani hasa afrika Mashariki, utakuwa unafahamu vizuri kabisa kuwa Ex-Boyfriend wa Desire, EBIKEME EBUOMOR ambaye ni raia wa Nigeria, alivujisha Picha za Msanii huyo za utupu, kunako Mitandao mbali mbali, huku akidai kuwa amefanya hivyo kwa sababu bibie huyo amekuwa akimsaliti kwa “kuvunja Amri Ya Sita” na Wanaume kibao sana
Tofauti na Hilo, waziri huyo ametoa amri ya kukamatwa kwa Ex-Boyfriend huyo aliyevujisha Picha huizo, kwa sababu mbali mbali hasa likiwa ni hilo la kukiuka Sheria za Nchi hiyo.
Sheria ya Kupinga Matumizi ya Picha za Ngono (Anti Ponographic Act) nmdiyo itakayowafikisha katika Hatua ya “Kunyea Ndoo” kwa Miaka 10 Desire Luzinda na Ex huyo.
EmoticonEmoticon