Baab Kubwa Magazine:
“MGEUZA shingo za Wanaume” kila anapopita mbele
yao, Hamisa Mobeto, huenda akawa amezima kabisa kila nia uliyokuwa mnayo hasa
katika Kumvuta, na kushare naye Maisha, yaani Ndoa.
Sasa kupitia ndugu zetu Baabkubwa.com,
tumepatamo ka-taarifa kuwa, the Sexy Baby huyu ambaye ni hatari sana
unapomkabidhi Scene Kadhaa kwenye Video yake, hafikirii kabisa kitu kuolewa
Hapa Tunanukuu:
“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo
sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda
kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa,”
WACHA WEEEEEH !
EmoticonEmoticon