WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
EAST AFRICA: THE MAID CLAIMS SHE WAS BEATEN TOO
BLACK TOUCHEZ & Uganda Online
The maid who tortured Arnella could have gotten
a worse off beating and we could be reporting something different here had Eric
watched the bit when the maid was doing cruel things to Arnella.
It's a long video and actually the parents had
not watched it in it's entirety. All Eric saw was that part when the
maid was slapping Arnella for not eating.
×Ads by OffersWizardIt was then that Eric
Kamanzi came home and beat up the maid for having slapped his daughter.
Of course, the nanny was not aware she was being recorded, so she wondered
why Eric was acting that way. This forced Jolly who had only worked for 26
days in that home to seek help from authorities.
Eric was later arrested and ordered to pay Jolly
her monthly salary of 60,000/- and get rid of her. However, Eric and Angella
Mbabazi got to watch the full recording of about 10 hours, they were
shocked with what they discovered. In some scenes, the maid could be seen
lifting Arnella by the hair, stomping on the back and kicking her in
the process.
Eric showed them the clip, they
were equally shocked leading to his release and the subsquent arrest
of Jolly. On being arrested, Jolly said that she had also been beaten but was
quick to add that Arnella was lucky, she did not bleed, but I bled. Jolly was
even showing off a blood soaked T-shirt she was wearing at the time of the
beating, she even showed off marks sustained from the caning on her back.
The police boss, Gen. Kale Kayihura has now
ordered that an additional statement be got from Jolly Tumuhiirwe on the events
leading up to the time of the video footage.
BBA HOT SHOTS: WATANZANIA TUNA NAFASI KUBWA KUMUOKOA IDRIS TENA. UGANDA NA KENYA TUNAOMBA MTUUNGE MKONO
Na Frank M. Joachim/BBA HOTS HOTS
WATANZANIA hivi sasa bado tunalo jukumu kubwa
sana la kuweza kuhakikisha tunambakiza Mshiriki wetu Idr5is Kunako jumba la Big
Brother, ikiwa ni baada ya Kurudishwa kwa mara ya Pili katika Kitu
kinachofahamika “KIKAANGO” ama HALI YA HATARI.
IDRIS aliweza kupigiwa Kura Tatu za kumpeleka kunako
Kikaango, kutoka kwa washiriki Wenzake, na hivi sasa ni moja kati ya watu saba
waliochaguliwa na wanatakiwa kubaki wachache huku wengine wakiondoka bila
ubishi.
Nchi ya Uganda safari hii imepona baada ya
Mshiriki wake ELLAH kukosa kikaangoni, hali ambayo inatoa nafasi kubwa sana kwa
Nchi za Afrika Mashariki kupigia Kura IDRIS Ili asitoke.
LIST
YA WASHIRIKI walioingia katika Kikaango ni kama ifuatavyo:
Trezagah
Tayo
Macky2
Idris
Sheillah
Goitse
Sipe
BOBY MAPESA KUTOKA NCHINI KENYA KUACHIA VIDEO YENYE GHALAMA BALAA
BLACK TOUCHEZ HQ/BOBY MAPESA
OOH NO LADIES AND GENTLEMEN…This Time Kila mtu
jicho na kitete kipo katika kauli ya Bobi Mapesa kuhusu Video kali
inayosadikiwa hivyo, huku ikithibitika kutumia Mkwanja Mrefu haswa…
TTM tumepata Data kuwa, Rapper Bobby mapesa
amedai kuwa , Jumatatu Ijayo, anatarajia kushusha Video kali ambayo
amemshirikisha VIVIAN, na amewekeza kiwango kikubwa Cha Mkwanja Mazee.
VIDEO Hiyo ambayo itakwenda kwa jina la OVER AND
OVER, imemgharimu BOBY MAPESA Kiasi cha KSH MILLION 3, sawa na Takribani TSHS
MILIONI 58
Hapa tunamnukuu:
“Video inadrop this coming Monday and it’s
directed by Kevin Bosco. I apologize to my fans for taking quite a while, but
complications to do with equipment getting lost and so on, led to the delay.
The same complications, zimefanya video budget to shoot from the initial Ksh.
1.5 million to 3 million, but si mind sababu I take my music as an investment”
BOBY MAPESA amewahi
kufanya Poa na Vibao kama Vile KAMOJA, NASKIA UTAMU (THE BUGZ) TUKO MBELE,
WEZERE, na nyinginezo kadhaa
WEEKLY TOUCHEZ BONGO: LADY JAY DEE, QUICK ROCKER, NAVY KENZO NA DIAMOND, WAMEFANYA HIVI JUMA HILI
Na Frank M Joachim/Mkito.com
KAMA Utakuwa ni Mfuatiliaji Mzuroi sana wa
Muziki wa Kizazi kipya utakuwa unafahamu Vizuri kabissa kuwa, kuna nyimbo
ambazo tangia ziachiwe zinafanya Vizuri kadri siku zinavyozidi kwenda
Diamond Platnumz aliweza kuingiza mkwaju wake
Mpya Sokoni tangia Wiki iliyopita na bado imekuwa ni sehemu ya Mafanikio
Makubwa si katika Video na Audio
KUPITIA Mtandao wa Mkito.com, ambao unauza kazi
za wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Bongo Fleva, Kazi zifuatazo,
ndizo ambazo zimeweza kutizamwa/kusikilizwa zaidi ikiwa ni Ndani ya Wiki ya
Kwanza na Yapili tangia Iachiwe
QUICK ROCKA (SWITCHER) FEAT. YOUNG
DEE- BISHOO
IMESIKILIZWA MARA 1890
(IKIWA NI WIKI YA KWANZA)
NAVY KENZO (AIKA & NAHREEL)-
MOYONI
IMESIKILIZWA MARA : 2100
(IKIWA NI WIKI YA KWANZA)
DIAMOND PLATNUMZ- NITAMPATA WAPI
IMESIKILIZWA MARA 13,043
(IKIWA NI WIKI YA PILI)
JAY DEE FEAT DABO- FOREVER
IMESIKILIZWA MARA 2,621
(IKIWA NI WIKI YA KWANZA)
LAMECK DITTO- HERI YA CHRISTMAS
IMESIKILIZWA MARA 960
( IKIWA NI WIKI YA KWANZA)
VANESSA MDEE FEAT. BARNABA- SIRI
IMESIKILIZWA MARA 7,908
(IKIWA NI WIKI YA PILI)
WEEKLY TOUCHEZ: MAUZO YA ALBAM YA EMINEM, RICK ROSS, IGGY AZALEA NA BEYONCE YAKO HIVI MPAKA KUFIKIA SASA
BLACK TOUCHEZ HQ/HNHH
NI muda kadhaa sasa
tangia wasanii kadhaa nchini Marekani wameweza kushusha albam zao kunako soko
la Muziki Ulimwenguni
Moja kati ya wasanii
ambao waliweza kuteka soko la Muziki kwa Kushusha Albam zao, ni pamoja na RICK
ROSS (HOOD BILLIONAIRE), EMINEM ( SHADY XV), BEYONCE ( BEYONCE-THE PLATNUM
EDITION) na IGGY AZALEA (RE-CLASSIFIED)
Na Albam za wasanii
hao zimeonesha kuchuana kuliko vile ambavyo wengi labda walitarajia:
RICK ROSS-HOOD BILLIONAIRE: Imeuza Nakala 65,000 mpaka 70,000
ndani ya Wiki ya kwanza
EMINEM-SHADY XV : Imeuza nakala 140,000 Mpaka 150,000
Ndani ya Juma la Kwanza mpaka sasa
BEYONCE- BEYONCE PLATNUM EDITION: Imeuza Nakala 50,000 mpaka 55,000
Mpaka hivi sasa
IGGY AZALE- RE-CLASSIFIED: Imeuza nakala 11,000 Mpaka 13,000
mpaka hivi sasa
TAARIFA KUTOKA TFF KUHUSU JEZI ZA TIMU YA TAIOFA, NA RAIS KWENDA NCHINI INDIA
BLACK TOUCHEZ Sports
Shirikisho la soka nchini TFF
limetoa shukurani kwa wabunifu waliojitokeza katika zoezi la kubuni muonekano
mpya wa jezi mpya za timu ya taifa za nyumbani na ugenini.
TFF imetoa shukrani hizo baada ya
kupokea mifano ya muonekano wa jezi za timu za taifa kutoka kwa wabunifu zadi
ya 80 ikiwa ni siku chache tangu zoezi hilo lilipotangazwa mwezi uliopita.
Mkurugenzi wa mashindano wa TFF
Boniface Wambura hii leo wamekutana na waandishi wa habari kwa niaba ya katibu
mkuu Celestine Mwesigwa na kueleza taratibu nyingine zinazofuata mara baada ya
zoezi la kupokea mapendekezo ya muonekano mpya wa jezi za timu ya taifa kutoka
kwa wabunifu.
Wakati huo huo Boniface Wambura ameliweka sawa suala la raisi wa shirikisho als oka nchini TFF Jamal Malinzi kuelekea nchini India ambapo ilidaiwa amekwenda huko kuftai matatizo ya kiafya.
Wambura amesema suala la Malinzi
kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu sio la kweli, bali kiongozi huyo wa
soka nchini amekwenda nchini humo kwa ajili ya kuangalia afya yake ikiwa ni
mpango aliojiwekea kila mwaka.
INSTAGRAM: INAWEZEKANA MDUDU "CHUKI BAINA YA WASANII"...UNAMTAFUNA SANA DIAMOND. TIZAMA ALICHOKIANDIKA
BLACK TOUCHEZ/ INSTAGRAM
KUTOKA KAMWAMBIE mpaka NTAMPATA
WAPI, siku hizi Diamond hakamatiki Kirahisi kutokana na kufanya Poa katika kila
mchakato ambao anakuwa anaufanya.
Baada ya kujibiwa swali la kwanza na
mmoja wa Followers wake kunako account yake ya Instagram kuhusu Watanzania kama
itatokea tukawa juu hasa kimuziki kama wasanii wengine ambao walianzisha Style
zao za Muziki, finally ameshusha swali ambalo kiujumla linaweza kujibika,
lakini utekelezaji wake ni noma
SASA, na siku ya leo kupitia account
yake hiyo hiyo ya instagram, Diamond Platnumz ameuliza Swali kama lifuatalo na
ninanukuu Swali hilo
"Ila kwa sasa nina swali moja tena
naomba mmoja anijibu NI LINI WASANII WETU WA TANZANIA WAO KAMA WAO WATAUNGANA
NA KUWA KITU KIMOJA NA ISIWE KINAFKI KAMA ILIVYO SASA NA HAPA SIMAANISHI MUUNGANO
WA KIGOMA OLL STAZ AU MBEYA WALA MWANZA NINAMAANA wasanii wasiwe na wivu wa
kijinga na badala yake wakubaliane na hari harisi na waitumie mianya
waliotengenezewa pia wasiwe woga au na aibu kuomba connection mfano kama vile @fidq asihofu
kumuomba chibu amkutanishe na @sarkodie1 kama ataamin chibu aweza mkutanisha. NI
LINI WASANII WATA HUG NA KUGONGA GRASS ZAO PAMOJA HUKU WOTE WAKIWA NA UPENDO WA
UKWELI MIOYONI MWAO NA HATA KAMA CHUKI IKIWEPO IWE YA SABABU ZA MSINGI
BASIII,NI LINIIIIIIIII?"
AUDIO: SIKILZA INTERVIEW AMBAYO ADEBAYO ALISEMA KUWA MAMA YAKE AACHE KUMLOGA
MKALI WA “KABUMBUMBU” kunako klabu
ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai
kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake.
Lakini mchezaji huyo wa zamani wa kilabu ya
Arsenal anadai kwamba mamaake aliondoka mwenyewe na kwamba hawana mawasiliano
yoyote kati yao kwa kuwa amekuwa akitumia uchawi kutaka kumuharibia kazi yake.
'' Ninawezaje kuzungumza na mama ambaye yeye na
dadaangu wamekuwa wakijaribu kuniroga''
Mchezo wa Adebayor katika kilabu ya Tottenham
umeathirika katika kipindi cha miezi kadhaa iliopita huku Tottenham ikidaiwa
kujaribu kumuuza kwa mkopo mchezaji huyo katika dirisha la uhamisho mnamo mwezi
January kufuatia kushuka kwa mchezo wake.
(AUDIO) DARK MASTER: NIMEBAKI MWENYEWE..NYOTA TATU KATIKA MAJINA YA NGWEAR NA GEEZ MABOV KATIKA MWILI WANGU YANAAMNISHA ZINAMAANISHA HIVI
Na Frank M. Joachim/HQ
KAMA Hujapata Taarifa, ni Kwamba,
Mwanachemba aliyebakia Lonely, DARK MASTER, amechora Tatoo zenye Majina Mawili
ambayo ni ya rafiki zake GEEZ MABOVU pamoja na ALBERT MANGWEA, Katika Kifua
Chake
Katika Kufafanua, Dark Master amedai
kuwa, Kiujumla Hivi sasa, anajiona kama amebaki
peke yake katika familia ya washkaji zake wa karibu, na ndio maana
ameamu kuweka majina yao katika Mwili, ili kuonesha kuwa alikuwa nao Kimwili,
lakini siku zote bado atazidi kuwa nao katika Mwili wake na Kiroho Pia.
Tofauti na Hilo, dark maesema kuwa,
hivi sasa kuna kitu kizuri kinachokuja kwa ajili yao, na hata kwa Manufaa
Mazuri ya familya Nzima Kiujumla.
Msikilize alichokisema wakati akipiga
Story na TTM
NYOTA DOGO NA MAPROMOTA WANAFIKI..IKO HIVI
BLACK TOUCHEZ HQ/KENYA
NYOTA NDOGO amekuwa Kimya sana huku
akionekana kustruggle sana kurudi katika Game ama Music Industry
Lakini kupitia account yake Twitter,
Nyota ndogo ambaye alihit na Vibao kadha wa kadha ikiwemo WATU NA VIATU,
ameonekana kukerwa sana na Promoters Feki pamoja na watu Wengine, wanaopenda
kumtumia Bure hasa katika Kipindi hiki ambacho hana Mkwanja (Inavyoonekana)
Katika Tweet Hiyo, Nyota Ndogo
ambaye hivi sasa ameonekana kushiriki katika Baadhi ya harakati hasa
zinazowahusu akina mama Nchini Kenya, amedhihirisha kabisa kuwa hiyo imekuwa ni
tabia ya watu wa aina hiyo ambao hupenda kukutumia pindi tu unapokuwa hauna
Mkwanja, ili wao waingize Mkwanja, lakini kipindi ukiwa na Mpunga Hawafanyi
Hivyo.
LADIES AND GENTLEMENT.....GUESS WHAAAT...COLLO IS BAAAAAAAAAAAAAAAAACK
COLLO-KING
WA RAP
|
BLACK TOUCHEZ HQ
KENYA is totally being hot na
itakuwa hivyo siku zote hasa ukizingatia Kitu rap na Ufalme wa rap umekuwa
ukipiganiwa sana.
SASA, Yule anayeitwaga Mfalme wa
Rap, Call Him COLLO- KING WA RAP, ameamua kurejesha ubabe wake kwa wale ambao
wamekuwa wakimchukulia Po asana kiasi kwamba wakadhani hajui kinachoendelea
Kutoka kwao.
Hivi sasa Collo ameachia Brand New
Track ambayo Ni Video, na ameamua kuipa Jina la COLLO (Whats that Boys Name)
ambayo kiujumla ina utamu wa Rap yake Mwenyewe
COLLO-KING
WA RAP
|
Collo amekuwa Kimya kwa Muda kadhaa,
huku ukimya wake ukishambuliwa na watu hasa wasanii ambao hawapendi jinsi
anavyojiita King wa Rap Kutoka Nchini Kenya.
Maswali Mengi hivi sasa kuwa, nani
ambaye atajitokeza kudhihirisha kuwa Collo Siye King Wa Rap Kenya…maana Collo
kasema hakuna rapper atakaye Mgusa
RIPOTI: DIAMOND TUMUACHE TU....HUYU NAYE NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND
Na Frank
M. Joachim/Youtube
OKAY, siku
ya jana, TTm tulikupa Mtonyo mzuri kuwa, Chibu Dangote, namzungumzia Diamonds
Platnumz, ameachia Brand New Track ambayo inakwenda kwa jina la Nitampata wapi,
amabyo imezua maswali Mengi.
Tofauti na
Kuachia AUDIO, Platnumz ameachia na Video siku hiyo hiyo ya jana, ambayo
imedhihirisha kuwa, yeye ni Platnumz na kamwe hawezi kukamatika
TAKWIMU
MPAKA KUFIKIA MAPEMA LEO
Baada ya
kupita leo kunako Channel yake ya YOUTUBE ambayo Video hiyo iliweza kuwekwa, Ikiwa
ni Ndani ya Siku Moja, Video hiyo Imeweza kutizamwa na Mara 129,049, jambo
ambalo linadhihirisha kuwa, ndani ya masaa 24, video hiyo inawezekana kuwa
imeshatizamwa na watu zaidi ya Laki Moja
Tofauti na
Kutizamwa mara nyingi Kiasi hicho, Video Hiyo imeweza kupata Likes, yaani
kupendwa na watu 2,124 na kupata Dislikes 185 mpaka ninakamilisha mchakato
HUYU NA
COMMENT YAKE..NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND
Aidha
kunako mchakato wa Comments, kulitokea kama Kijiubishi Kidogo hasa baada ya
jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la NORMAN ERIC kucomment hivi :
“Hakuna lolote , diamond alishafika kwenye level za juu kabisa na ngoma yake
ya my number one. Ni ukweli usiopingika kuwa hatakaa afikie pale tena. Kwa sasa
kila wimbo wake mpya anazidi kuwa anashuka chini. Angalia kitorondo na huu uchafu
mwingine hapa. Na anachokosea pia ni kuweka hao wazungu anaona dili. Keli
kuzaliwa tandale bwana. Ni shida fukara wa fikra. Poor diamond.. Graph yazidi
kushuka. My number one hutakaa fikia tena. Nani anabisha???”
Sasa,
Baada ya Norman kufanya hivyo, comment karibia zote zikahamia katika
kumshabulia..moja wapo ni hii hapa
“Diamond Anajaribu Kua Mbunifu
Tatizo Wabongo bhado Tuko Nyuma Sana Yupo Mtu ana kwambia Mbona Video Haipo
kama #ma no
1 Kwa hyo Alitaka Daimond Atoe video za Aina moja tu Music Unabadilika Au
Ulitaka Diamond atoe Videos kama Za Jason Derulo Wakati Uwezo wake
Haujafikia kule Kila kitu kina enda kwa Wakati, Alipofikia Diamond Mpaka Sasa
ni Hatua kubwa Sana kibongo bongo, Tujifunze kutoka kwa Wenzetu Tusikariri
Check Video Ya Psquare #chop ma money
na Ejeajo graphic na kila Kityu kipo Tofauti ila Kuna Watu watasema
Video ya EJeajo Mbaya Coz Washazoea Ma video ya Marangi Rangi Big up Diamond
kazi Nzur #Wabongo tuna
tabia za Kichawi na Wivu”
(COMMENT NYINGINE HATUJAWEKA SABABU ZILIKUWA NA MANENO MAKALI. AHSANTE)
WHOA!..HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA….
Na Frank M. Joachim/Daily Mail
WALISEMA haolewi, sasa kakaolewa, Pongezi za
Dhati zifike kwake SOLANGE KNOWLES ambaye ni Mdogo wake Beyonce, kwa kuweza
kuingia katika Mchakato wa Kuwa kitu Kimoja na Mchumba wake ambaye This Time ni
Mumewe, ALAN FERGUSON
SOLANGE alitamka Neno “Ndiyo” katika Mitaa ya
NEW ORLEANS Nchini Marekani Siku ya Jana, JUMAPILI, ambapo Ilithibitika na
Kuidhinishwa Kuwa tayari wawili hao ni Mwili Moja, Ila sina uhakika kama Moyo
ni mmoja.
TTM iliweza kuzama kupitia Kitengo Chimbua
Chimbua, na kupata Uhakika kuwa, Ndoa Hiyo ilikuwa ni Ya Kipekee na Tofauti
sana, ambapo wawili hao walionekana kujawa na Nyuso za Furaha, huku wageni
waalikwa wakiwa ni wachache lakini Muhimu sana
·
Wageni
Muhimu :
Kulikuwa na wageni Muhimu ambao walikuwa ni
tazamio kubwa sana kuweza kuhudhuria Ndoa Hiyo ambayo ilioneakana kumvutia.
Familia ya CARTER, nam,zungumzia JAY Z (Shemeji ake Solange), Beyonce (Dada ake
Solange) pamoja na Mtoto wao Blue Ivy
Tofauti na Hilo, mama Mzazi wa Solange pamoja na
Beyonce, naye alitia Timu katika “Ubwabwa” huo ambao ulinukia balaa
·
Mavazi
Kwa Shughuli Nzima
Shughuli Nzima iling’aa sana ukizingatia
Dressing Code ya Ndoa na Hafla yote Kiujumla, ilikuwa ni Mavazi yenye rangi
Nyeupe. Jay Z alinyonga SUTI ambayo hakika itabaki kuwa gumzo na Kumfanya
aonekane tofauti kabisa hasa kimuonekano.
Maharus wote waligonga Kitu White, na kuifanya
Ndoa hiyo kujawa na Weupe wenye Full happinesses
·
Usafiri
Ulikuwa Balaa
Tofauti na Vile ambavyo Tumezoea Siku zote,
tunaonaga Maharusi wakiwa wamejificha ndani ya magari yenye Thamani sana na
hata yakiwa Tinted, huku wengine wakiwa Kunako magari ya wazi ili tuone
walivyopendeza, lakini huku imekuwa ni Toooofauti.
SOLANGE na Mumewe ALAN FERGUSON, walipanda
katika baiskeli ambazo pia zilipigwa Rangi Nyeupe
Kitu cha kushtua Kidogo, ni kwamba Mume alikuwa
katika baiskeli iliyoonekana kuwa na Pancha, huku tukijiuliza kuwa what was
That.
Pia baiskeli ya mamito SOLANGE, ilionekana kuwa
na maua Fulani hivi ambayo yanaashiria huyu ndiye Mwali ati…
·
Tujikumbushe
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10
Subscribe to:
Posts (Atom)