BLACK TOUCHEZ TZ
KUNA uwezekano Mkubwa kabisa Iggy
Azalea akaanza kuwachukia mapaparazi kupita maelezo, ikiwa ni baada ya kuonja
joto la kufuatwa siku nzima na Paparazi mmoja mpaka kuingia katika Majibishano
makali..TTM Tumeinyaka Hivi
Iggy Azalea akiwa na rafikia ake ,
alionekana akijibishana Vikali na Mpiga
Picha mmoja amabye inasemekana amekuwa akimfuatilia sana.
Tukio hilo limetokea katika Duka
moja lililopo LOS ANGELS Marekani, ambapo paparazzi huyo alionekana kuwapiga
Picha akina IGGY wakati wakifanya manunuzi ya Bidhaa mbali mbali majira ya
Usiku.
·
Malalamiko
Ya Paparazi
Video Clip imewaonesha Iggy Azaela
na rafiki ake wakijibishana maneno makali na paparazzi huyo. Malalamiko ya
paparazzi huyo katika Video Clip Hiyo, ni kwamba eti alitemewa mate na rafiki
yake Iggy, huku akidharirishwa kwa kuambiwa kuwa atakuwa anataka kuwaambukiza
Ugonjwa wa Ebola
Pia sauti ya Iggy ilisikika ikisema
“I hope You Have Ebola, I hope You Die. You are F**ckin C**nt”, na alikuwa
akilalamika kuingiliwa katika masuala yake Binafsi
·
Alichokifafanua
Iggy
Baada ya Iggy kuona ishu hiyo
imecvhukua Nafasi kubwa sana katika Mitandao ya Kijamii na hata Media Mbali
mbali, Basi Iggy alitoa Ufafanuzi na kudai kuwa, Jamaa huyo amekuwa
akimfuatilia Sikui Nzima, yaani kuanzia Asubuhi mpaka Usiku.
Tofauti na Kufuatiliwa tu siku
nzima, Pia Iggy anasema kuwa, Mpiga Picha huyo amekosa Heshima kwa Kiasi
kikubwa,maana hata alipokuwa akielekezwa kuhusu Uhuru wa Msanii, basi alikuwa
akija Juu.
Pia Iggy ameongeza kuwa, yeye huwa
hapatani hata Kidogo na Mapaparazi wakorofi, na yuko tayari kuzinguana nao
kadri ya Uwezo wa Nguvu zake
EmoticonEmoticon