NEW YORK, Marekani
RAPPER 50 CENTS ambaye pia ni Big
Bouss wa G-Unit, ameamua kama kumuonea Huruma hasimu wake, Mwanamasumbwi Kutoka
Nchini marekani, Floyd Mayweather, baada ya kumuwashia Moto na kuibua Siri
kuwa, Bondia huyo suala la kusoma linampita Kushoto kidogo.
Katika Interview na kipindi kimoja
Nchini marekani, safari Hii FIF ameonekana kuingiwa na huruma Dhidi ya noma
ambayo inazidi kumkumba Floyd , huku Ushahidi mbali mbali Ukizidi kutolewa kuwa
Bondia huyo anayetengeneza Mkwanja mrefu sana, ana tatizo kubwa katika Kusoma.
Katika Maelezo yake, 50 maedai kuwa,
Ni Kweli Floyd mayweather anafahamu kusoma, lakini sio sana.. ingawa ukweli
utabaki pale pale kuwa bado anashida katika kusoma licha ya kumiliki Mkwanja
Pia FIF ameongeza Kuwa, yeye binafsi
hataki kumuumiza Floyd, wala
kumuaibisha kama ambavyo inatokea hivi sasa, maana
anamchukulia kama mdogo wake, lakini Floyd mwenyewe amemkosea nidham FIF kwa
kumuandama na kumtolea maneno makali katika Vyombo mbali mbali vya habari,
utadhani yeye hana kasoro.
Aidha 50 Cents ambaye jina lake
halisi ni Jackson Curtis, amesema kuwa, chanzo cha hayo yote kutokea, ni baada
ya Floyd kuzungumza Vitu vibaya juu yake katika moja ya interview aliyoifanya,
huku akisema kuwa maadui zake wakubwa ni Pamoja na T.I, NELLY, pamoja na 50
Cents…
Kituo cha Redio Cha I HEART,
kiliharibu zaidi kuhusu Ishu hii, baada ya Kusambaza sauti za Floyd Mayweather,
akihanya haswa, kuingiza Dropper ya Sekunde 10, baada ya kushindwa kusoma
maandishi aliyokuwa ameandikiwa.
Licha ya Mayweather kupost CHECK za mkwanja Mrefu sana anaolipwa, kama kumjibu 50, hali ilizidi kuwa mbaya kwake, ambapo Ushahidi mwingine ulioneshwa, akiwa sehemu, na kushindwa kusoma neno moja huku akiishia kuomba msaada toka kwa muhudumu
EmoticonEmoticon