KAMA kuna watu waalikuwa bado
hawaamini kuwa Ndoa ya Jay Z na Beyonce ina Tatizo tena Lisilo dogo…basi
“Kalagabaho”..Kuna hili Jipya kabisa Kutoka TTM
Ukweli ni Kwamba, JAY Z na BEYONCE
hivi sasa wanapokea Ushauri Nasaha hasa
kuhusu Ndoa yao, kwa Njia ya Mtandao…
Kwa Mujibu wa Full Info, ishu ni
kwamba, wanandoa hao ambao kumekuwa na taarifa kadhaa kuwa Ndoa yao bado iko
katika Mgogoro wa aina yake, wanapewa ushauri na mafunzo mbadala hasa kuhusu
kuhimili changamoto ambazo zinawakabili, kutoka kwa mtaalam ambaye hutoa somo
hilo kwa njia ya Mtandao wa Skype
Aidha Chanzo ambacho kipo karibu
sana na Wanandoa hao, kimedai kuwa, Mtaalamu huyo wanamfahamu kwa Muda Mrefu,
hivyo wanamuamini na huwa wanapata Somo la Nguvu Kila Week, ili kuweka
Mahusiano yao sawa, na kuepuka
Mikwaruzano ya hapa na pale.
Tofauti na Hilo, pia inasemekana
kuwa, wameamua kuhakikisha kwamba wanadumisha Furaha yaoa hasa katika
Mahusiano, ukizingatia hawataki kuathiri hasa maisha ya Mtoto wao Blue Ivy
JAY Z na Beyonce walifunga Ndoa
Mwaka 2008, huku Mikwaruzano ya Ndoa ikianza Mwaka huu hasa baada ya JAY Z
kuzinguana na SOLANGE, ambaye ni Mdogo wake Beyonce.
EmoticonEmoticon