KUNA MUDA
TTM huwa tunajiuliza hivi sasa Rapper Jay Z yuko katika hali gani, baada ya
majanga kuzidi kumuandama , ikiwa ni baada ya kuvuja kwa Video Clip
akizxunguliwa na Shemeji ake Solange Knowles..Sasa Kuna Jipya hili nalo.
PRODUCER,
na ENGINEER CHAUNCEY MAHAN, amedai kuwa Yeye ni mmoja wa wamiliki wa Studio ya
JAY Z, inayofahamika kwa jina ROC-A-FELLA RECORDS.
Ishu hiyo
imeshafikishwa Mahakamani mpaka hivi sasa, na kuna uwezekano ikafika mbali
zaidi, baada ya kila kitu konekana kwenda mlama hasa kimaelewano baina ya
wawili hawa.
Aidha
Mahan ameshafungua Kesi ya Pili, huku akidai kuwa yeye ndiye Producer wa Kwanza
kabisa, huku akisisitiza kuwa yeye ndiye Mbunifu wa Kazi za kwanza kabisa za
ROC-A-FELLA RECORDS zilizotoka mnamo Miaka ya 1990 pamoja na Mikwaju Mingine
amabyo ilitoka kuanzia Miaka ya 2000.
Tofauti na
Hilo, Engineer na Producer Mahan ameongeza kuwa, kiujumla yeye ndiye
amebopresha zaidi Instrumentals hasa katika Sound, katika mikwaju ambayo
imepata mauzo bora katika Soko la Muziki Ulimwenguni.
Moja kati
ya Mifano aliyotoa, ni pamoja na THE
LIFE AND TIMES OF S. CARTER VOL. 3 ya Jay Z, na THE DYNASTIC ROC LA FAMILIA ya
Mwaka 2000.
Hata Hivyo
Mahan anataka Hakimuamuidhinishe kama Mmiliki mwenza wa Hakimiliki katika Kazi
ambazo amewahi kuzifanya akiwa hapo.
EmoticonEmoticon