UNAWEZA KUJIULIZA kuhusu Hili na hata kutafakari
kwanini watu wasiwe na maoni Mengi tena ya Kukosoa katika hili.
Mwanandoa aliyefunga Ndoa yake hivi karibuni,
SHONA CARTER BROOKS (SHONA KATA BRUKS),amejikuta akipokea Mzigo wa maoni ya
Kumkosoa Vikali hasa Mtandaoni, baada ya Kuweka picha zake siku ya Ndoa, huku
akiwa anamburuza mtoto wake wa Mwezi mmoja , Nyuma ya Shera yake.
SHONA alifanya tukio hilo akiwa Kanisani, huku
akimuweka Mtoto huyo katika Shera ambayo huwa inaburuzwa Nyuma, na Mtoto huyo
kuonekana akiwa anaburuzwa hapo.
Kwa Mujibu wa maelezo yake, Shona anasema kuwa,
watu hawatakiwi kuwa na Hofu, maana mtoto huyo, AUBREY, alikuwa akilindwa na
damu ya Yesu. Ndoa hiyo ilifungwa jijini New York, ambapo Shona alikuwa
akiolewa na Mumewe JONATHAN BROOKS, katika kanisa la Kisabato , lililopo RIPERY
EmoticonEmoticon