Tunaamini kuwa Kila Mtu Huwa
anapenda sana Kujishughulisha ili kujikwamua hasa Kiuchumi, pamoja na kukidhi
mahitaji mengine.
Lakini tofauti na hilo, Tunaamini
kuwa, kazi ya mtu ni kitu anachojivunia siku zote kulingana na hulka na mtazamo
wake juu ya kazi husika.
Hivi ulishawahi kumuona mtu
akiichukia kazi yake ambayo inampa Riziki?..au, Ulishawahi kuhisi Unaichukia
kazi yako, na kutamani kuiacha?..sababu Ni Hizi:
1.
SABABU ZA MFANYA KAZI
·
Huitambui
Vema kazi yako
·
Huna
malengo na kazi yako
·
Haujitangazi
Vema kupitia Kazi yako ili kupata Channels Tofauti
·
Hushirikiani
na Wenzako, yaani wewe Ni Mbinafsi
·
Huzingatii
Thamani ya Kazi yako.
·
Huna
Heshima katika kazi yako
2.
SABABU ZA KIKAMPUNI
Kampuni Inaweza kuwa sababu kubwa
yaw ewe Kuichukia kazi yako:
·
Kampuni
haikuthamini.
·
Mshara
/Malipo madogo ukilinganisha na Nguvu kazi yako
·
Kampuni
kukosa Shukrani dhidi ya Kizuri unachokifanya
·
Kudharaurika
hasa Kutoka kwa Viongozi
·
Kampuni
Kujenga matabaka baina ya wafanya kazio kisa Muonekano, hali ya Kimaisha, na
Nafasi za upendeleo
·
Kampuni
kushindwa kumpa motisha Fulani Mfanya kazi.
·
Kampuni
kutokufanyia kazi UBUNIFU wa Mfanyakazi pindi aletapo mawazo mapya ya Projects
·
Kauli
Mbaya Toka kwa Viongozi/ Utawala
·
Kampuni
Kutokuthamini matatizo yako hasa ya
Kiafya/Kifamilia/ nk
·
Unyanyasaji
hasa kijinsia
EmoticonEmoticon