Muda Kidogo hivi umepita baada ya
Jarida la FORBES kuchapisha habari yenye Kichwa Cha habari kuwa, HIP HOP
INASHIKILIWA NA MWANAMKE MWEUPE, MWENYE NYWELE NYEUPE KUTOKA AUSTRALIA, ambaye
bila Shaka alikuwa Ni IGGY AZAELA
Tofauti na Hilo, jarida hilo bado
lilidai kuwa NICKI MINAJI Hivi sasa ni kama ameshuka baada ya kukaa Kimya Kwa
Muda mrefu bila Kutoa ngoma Yoyote Mpya, jambo ambalo si Kweli, kwani Nicki
ameshaachia Mikwaju kadhaa ya HIP HOP, ikiwemo L.A.N (Na Usitake Nitaje kirefu
Chake).
Lakini baada ya watu Kibao
kulalamikia Ishu hiyo hasa Tittle la jarida hilo, baadaye Forbes walibadili
TITTLE na kuandika. MSANII MPYA ASIYELINGANISHWA NA WENGINE: MWEUPE, MWENYE
NYWELE NYEUPE, TOKEA AUSTRALIA
Sasa Kunako Moja ya interview baada
ya kuulizwa kuhusu Ishu Hiyo kunako Moja ya interview Nchini marekani, Nicki
Minaj alijibu kwa Kucheka, huku akisema kwamba, Kampuni ya FORBES kiujumla,
inatakiwa kuwa na Hofu kuhusu Mkwanja
atakaoupata atakaoupata, pindi atakapouza Kinywaji chake cha MYX FUSSION kwa
Dollari za Kimarekani MILIONI 250.
Aidha Minaji ambaye hivi sasa
ameshaachia Track yake ya PILLS & POTIONS imeshaachiwa rasmi, amesema kuwa
kila Mtandao unauwezo wa Kuandika Chochote kile kuhusu Hip Hop, na hakuna
tatizo juu ya hilo, Lakini kwaSuala la Iggy Azaela, Hakuna Kitu kama Hiyo.
Hata Mie Pia Ntakubali Kwaaa Kweli.
EmoticonEmoticon