REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HUYU NDIYE MWANAMKE KATILI KULIKO KAWAIDA:

2:47:00 AM

WATU WENGU HUWA TUNASEMA “UCHUNGU WA MAMA AUJUAYE MZAZI”, lakini Hii imekuwa Tofauti kwa namna yake:
KITENGO CHIMBUA CHIMBUA kilizama Kunako maisha na michakato mbali mbali huko Nchini NIGERIA, na kubaini kuwa Mama Mmoja ambaye anaishi katika Chumba kimoja na watoto wake Wanne huko Ncjhini Nigeria, amekuwa akifanya kitendo cha Kikatili ambacho hakuna Mzazi yeyote ambaye anaweza kukubaliana na hali halisi inayoendeleahasa kwa maisha ya Mtoto.
Mama huyo ambaye anafahamika kwa Jina la MRS TOYIN ABIODUN Mkazi wa Mtaa wa ADENKULE, huko OGUN, amekuwa akiwapiga watoto wake kwa kutumia KISU, JAMBIA, MIKANDA pamoja na PASS.

Kwa Mujibu wa Picha ambazo Kitengo hiki Aminifu kimezinyaka, Kinamuonesha Mtoto wake wa Kiume wa Kwanza, akiwa na majeraha Kichwani, ambayo si majeraha ya Fimbo, bali ni Majeraha ya kitu cha Ncha kali kama Hivyo Vilivyotajwa hapo Awali.
Tofauti na Kichwani, Mtoto huyo pamoja na wadogo zake, Wote wana alama za Kipigo katika Maeneo ya Uso na mikononi, Ukatili na ujinga ambao hufanywa na Mtu wanayemuita mama.
Tofauti na hayo, mama huyo pia Huwafungia Ndani na Kugawa kifinyo hicho cha Kikatili kwa watoto.
Aidha jambo la kushangaza, imebainika Kuwa, Watoto hao hawakuwa wakigundulika hasa makovu makubwa ya kichwani, kwani walikuwa wakivalishwa KOFUIA na mama Huyo, huku akitoa Onyo kali kuwa, Endapo watavia kofia zao, basi MBWADIDI litawaangukia pindi watakapogundulika.

Kwa mujibu wa Shule wanazosoma watoto hao, Mwalimu ambaye anawafundisha Katika masomo ya kila Siku, amedai kuwa, Kiujumla Perfomance darasani kwa upande wa Wanafunzi wake hao, hakika Sio mzuri, hasa Yule kijana Mkubwa, kwani amwekuwa ni Muoga Kupita maelezo, Hafanyi vizuri darasani, jambo ambalo linawafanya kuamini kuwa huenda wameathirika KISAIKOLOJIA.

Pia ameongeza kuwa, inapofika Muda wa Kurudi Nyumbani baada ya masomo, basi watoto hao Huogopa sana kurudi Nyumbani, ukizingatia Wanajua kitakachotokea.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER