Tunafarijika sana atleast ngoma yake mpya ya
LOYAL inakita vizuri kunsko Charts mbali mbali za muziki Ulimwenguni…
Lakini kwa mujibu wa RIPOTI kutoka katika
Kitengo cha CHIMBUA CHIMBUA, imebainika kuwa ,Kesi ya Chris Brown imesogezwa
mbele na atazidi kubaki kunako gereza la LOS ANGELS ili kusikilizia hukumu
yake, dhidi ya Makosa kadhaa ambayo yanamkabili hivi sasa.
Kwa Maamuzi hayo, inaashiria kabisa kuwa Ombi la
kuachiwa kwa Chris Brown limetupiliwa mbali, na kuna uwezekano mkubwa akakutana na RUNGU la aina yake kuhusu mashtaka
yanayomkabili.
Aidha Ripoti bado inamiminika kuwa, Endapo
Breezy atabainika kuwa na makosa katia kila kosa linalomkabili ikiwemo la
kukiuka adhabu alizokuwa amepewa na mahakama, basi anaweza kukaa nyuma ya nondo
kwa miaka 4, yaani atahukumiwa kifungo cha Miaka 4 Jela.
EmoticonEmoticon