BAADAA kuingia katika Mbwadidi na Msanii
Mwenzake Nchini Kenya, COLONEL MUSTAPHA kuhusu Picha za Utupu, Mamii ambaye
SAUTI yake kitambo sana Haijasikika, hatimaye anakuja na Brand New Swaggalinyuz
ambazo ni Video na Audio , vikipewa Jina la MAPANYA, TTM tumezinasa.
Kwa Mujibu wa Info za Uhakika, Ni kwamba Nyota
Ndogo ambaye Miaka ya Nyuma alisumbua sana Vichwa vya Watu na Track yake ya
WATU NA VIATU, mchakato wa Awali ambao ataufanya, ni Kuachia Video ya Track
Hiyo Mpya inayofahamika kwa Jina la MAPANYA, ambayo imemshirikisha jaama mmoja
anayefanya Po asana Kunako HIPHOP Nchini Kenya, KAA LA MOTO.
Aidha Nyota Ndogo ameendelea Kufafanua kuwa,
Kwaju hilo ambalo limepikwa kuna studio za A MILLION RECORDS-Kenya,
linazungumzia Marafiki FEKI ambao wanakuwa Happy na Wewe hasa katika Kampani
yako, wakati mambo ni mazuri, ila yakiwa Mabaya, kila Mtu anachukua Time yake
na kukuacha uki-hang.
Pia Nyota Ndogo ameongeza kuwa, Kwaju hilo lipo
katika Mahdahi ya Kiafrika, huku kukiwa na Combination ya Style ya TAARAB na
LINGALA, huku rap Ikichukua nafasi yake kutoka kwa Rappa KAA LA MOTO..
EmoticonEmoticon