STORI zilikuwa Ni
story baada NAS kuzua Mjadala kwa Kutumia Picha Gauni La Ndoa (Shela) la
X-WifeWake, Kelis, Katika Album Cover Yake.
Baada ya Kuunyaka
Mchakato huo, TTM tulizama kazini kama ilivyo desturi yetu, na Kukutana na
Mtonyo ambao Ni vema zaidi ukaufahamu.
KATIKA moja ya
Interview kunako jarida la New York Times, Kelis ambaye alikuwa Mke Wa Nas,
amezungumza kuwa kwanza sio gauni halisi la Ndioa, bali ni sehemu tu ya gauni
hilo, ambalo anaamini alilisahau wakati anatemana na Kuondoka kwa Jamaa Huyo.
Aidha akijibu swali
kama alipewa Taarifa na Nas kuhusu Kutumika kwa Picha Hiyo kwny Albam Cover
yake, Kelis alidai kuwa, Nas alimpa Taarifa Siku mbili kabla, kuwa atatumia
Kitu Hicho, hivyo kwake haikuwa shida hata Kidogo.
Pia Kelis alimiminika
kuwa Hata kama sababu ya Nas Kuweka gauni hilo Ingekuwa Mbaya ama Njema, yeye
hajalishi Chochote kwa sababu tayari hayuko hata katika maisha yake na Fikra
Zake.
Katika Kumalizia,
KELIS ameamua Kdhihirisha kuwa hana chochote kwa NAS kwa sababu hata Nyimbo
zake hasumbuki hata kidogo kuzisikiliza.
EmoticonEmoticon