WAKISEMAGA WAACHE WAFANYE WANACHOKITAKA mi huwa
nakaa Kimya kabisaaaaa
Video ya Wimbo wa KATTY PERRY inayoitwa DARK
HOUSE imeingia katika Msala wa Kibaba baada ya Taasisi ya Dini ya Kiislam
Nchini Uingereza
Kwa Mujibu wa Uchimbuzi waKitengo cha Chimbua
Maovu, TTM tumebaini kuwa TAASISI hiyo inayofahamika kwa jina la SHAZAD IQBAL,
wametaka Video hiyo iondolewe katika Mtandao wa Kuuzisha Sura video za watu, wa
YOUTUBE, kwa Madai kuwa Inamkashifu Mwenyezi Mungu
Aidha katika kukazia zaidi, Taasisi hiyo imedai
kuwa, kipande ambacho kinapatikana ndani ya NINGA HILO la katty Perry,
kinalomuonesha Mtu akiwa amevaa Cheni iliyoandikwa Jina ALLAH yaani MUNGU,
wazungu wanavunja yai kwa Kusema ALMIGHT GOD, halafu akashindwa na Nguvu za
Giza za KATTY PERRY, zinaonesha kuidhihirisha sana Dini hiyo ya Kiislam na hata
kuidharirisha Heshima ya Mwenyezi Mungu
Taasisi hiyo ambayo tayari imeshakusanya sahihi
40,000 za kusitisha Video hiyo na kuiondoa Youtube, imedai kuwa wanaamini Video
hiyo itatolewa YOUTUBE kama walivyoomba, na kitendo kama hicho hakisameheki kwa
Mwenyezi Mungu, na wala hakivumiliki…
EmoticonEmoticon