Ayayayayayayaaaaaa..Happy valentine’s day Kwa
Wooooote Mnaopendana
TTM Huwa hatupendwi kupitwa na Kila Kitu
kinachovuta masikio Yetu, na Macho yetu.
THE QUEEN Of Mateke SIZE 8 amethibitisha Kuwa Mume
wakeKipenzi DJ MO yuko So Romantic katika maisha yao Ya Ndoa tangia Wamekutana.
Katika Maelezo yake yaliyojawa Furaha, Size
alisema Kuwa DJ Mo Ni Mtu wa Pekee Kwake na Ndoa Kiujumla, kwa sababu muda
Mwingi amejaa Furaha, ambayo ni Chachu ya Ubora waMapenzi yao na Maisha Ya Ndoa
kiujumla
Alipoulizwa kuhusu Mpango wa Mumewe Huyo Kuhusu
Siku maalum kama Hii ya Wapendanao, SIZE 8 alisema kuwa, hajui chochote
Kilichopangwa na Mumewe katika Siku Hii Muhimu, maana huwa Ni Mwingi waSUPRISE
Katika Kudhihirisha kuwaDJ MO ni Mtu waSUPRISE
Kwake, SIZE 8 alidai kuwa aliwahi Kumuandalia Surprise kali wakati
waKusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa, jambo ambalo lilimfanya afurahi zaidi
maana alihisi huenda Birthday hiyo ingeweza Kuwa Mbaya zaidi Kuwahi kutokea.
EmoticonEmoticon