NA GEORGE BINAGI
MKUU WA (W) NYAMAGANA BARAKA KONISAGA
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, MDA MFUPI BAADA YA KUKUTANA NA VIONGOZI
MBALI MBALI WA SERIKALI, MADEREVA, NA WADAU WOTE WA USAFIRISHAKI JUU YA MGOMO
WA DALADALA JIJINI MWANZA.
ZAIDI KIKAO KIMETOA WITO KWA MADEREVA KUSITISHA
MGOMO MARA MOJA, AMBAPO AMESEMA KUWA AMEWAAGIZA WAHUSIKA WA JAMBO HILI
KUFUATILIA SUALA HILI MARA MOJA IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA NINI MALALAMIKO YA
MADEREVA ILI YASHUGHULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYO.
ZAIDI UTASIKIA ALICHOKIONGEA KUPITIA 99.4 METRO
FM.
EmoticonEmoticon