UNAWEZA Kudhani tunakuchora, lakini ukweli
halisi ndio Huo,
The Po p Female Singer, RIHANNA,
amefunguamashtaka Dhidi Mhasibu Wake, kwa Kumpa Ushauri Mbaya ambao ulimpelekea
Kufulia mwaka 2009.
Hali hiyo ambayo imeonekana Kuwashangaza Wengi,
imefikiwa Na Mrembo huyo baada ya kubainika Kuwa ilifikia Muda akafulia kabisa
na Hakuwa na Mkwanja jambo ambalo lilimpa wakati Mgumu kuweza Kusurvive
Kimkwanja.
Katika Kufahamu ukweli juu ya Mtonyo Huo, TTM
Iliamua Kuzama Ndani kabisa na kuchimbua maelezo zaidi, ambapo tul;ibaini kuwa,
Ni Kweli RIRI ameamua Kufungua Mashitaka dhidi Mhasibu wake
Huyo,ambaye alimpa Ushauri
Mbovu wa Kiuchumi.
TTM Pia Imebaini kuwa, katika Moja ya Ushauri
alioutoa Mhasibu huyo, Ni pamoja na Kununuliwa kwa jumba La kifahari
lililomgharimu Dola za Kimarekani Milioni 7.5, kipindi hayuko katika Soko lake
hasa Kimuziki, na hakuwa na uwezo wa Kugharamikia Kitu Hicho.
Mnamo Mwanzo wa Mwaka 2009, RIHANNA ambaye Jina
Lake halisi ni ROBBIN FENTY, alikuwa na Dola Milioni 11 katika Account yake ya
Bank, lakini alibakiwa na Dola Milioni 2 kufikia Mwisho wa Mwaka huo wa 2009,
baada ya kutumia Vibaya Pesa zake katika Gharama zisizo na maana pamoja na
TOURS ambazo hazikufanikiwa
Aidha ilimlazimu MKALI Huyo wa DIAMONDS, MAN
DOWN na NEW HIT ya Hivi sasa, CANT REMEMBER TO FORGET YOU, kuuza Jumba Lake Hilo na kupata
hasara ya Dola Milioni 2 katika Mchakato wa Uuzaji, jambo ambalo limemlazimu
Kufungua Mashtaka Dhidi ya Mhasibu wake, kwa kumshauri vibaya katika matumizi
ya Fedha
EmoticonEmoticon