LIcha ya Kukandiwa Sana Kuhusu VIDEO ya POMBE
YANGU ambayo Ilifanywa na OGOPA VIDEOZ Nchini Kenya, Kuwa Mbovu na Haina Mvuto,
Madee alisema Yeye hatokoma kufanya kazi Nchini Humo, na alisema Atawaziba
Vidomo domo wale Wote wasiopenda Mafanikio yake.
Baada ya Wengi Kusubiri Nini Kitafuata, Huu Ndio
Mkwaju ambao Binafsi TTM tumelipitisha Asilimia 1000
EmoticonEmoticon