Mara
Nyingi Pia Binafsi huwa nashindwa kupata Jibu katika Swali hili. Unaweza Vip
Kumfanyia baya Binadamu Mwenzko na Kumdhalilisha Kisa mapungufu aliyo nayo, ama
Utofauti wako na Wake…
Hii
imekuwa ni Picha Mbaya sana na Tunaamini Itakuja Kuwacost sana wale Wote ambao
wanafanya UPUMBAVU huu kwa Binadamu wenzao, kwa kujiona na Bora kuliko wao.
Kupitia
Mitandao Mbali mbali ya Kijamii, Picha ya DASHA ZUKHOVA, Raia wa URUSI ambaye
ni MHARIRI MKUU wa Jarida la GARAGE, imemuonesha akiwa amemkali Mwanamke wa
KIAFRIKA aliyekuwa Nusu Utupu, akiwa ametengenezwa kama KITI cha Kukalia….
Just
Imagine watanzania Wenzangu na Waafrika Wenzangu..Unaweza kusema Kweli huu ni
Ubunifu?....kwa Hali Hii?
EmoticonEmoticon