JAMAA MMOJA anayefanya Shughuli za Ujenzi Nchini
China, amemteka Mpenzi wake na Kisu cha Kukatia Nyama Juu ya Jengo, kwa Muda wa
Masaa Matano, baada ya Wazazi wa Binti Kukataa kuidhinisha wao Kufunga Ndoa.
Mami ya Watu pamoja na Jeshi la Polisi, walikuwa
katika eneo la Tukio, ambapo jamaa alizidi Kuwa mkali huku akifikia Hatua ya
Kumuamuru Mpenzi wake Kuvua Nguo, ili Wote wadhalilike, jambo ambalo Binti huyo
alilitekeleza.
Wakati akiendelea kumshikilia kwa Muda huo,
Jamaa huyo alizidi Kutishia Kumuua binti huyo ambaye ana Umri wa Miaka 29, huku
akitoa madai Kuwa alikuwa akijihusisha na mahusiano na wanaume Wengine hasa
kipindi jamaa mwenyewe akienda katika Shughuli zake za Ujenzi.
Wakati akiendelea na Tukio hilo, alifikia Mpaka
hatua ya Kubaki Mtupu kabisa na Kuamuru aletewe Gari Moja ili yeye na Mpenzi
wake Huyo watimue Kutoka Eneo Hilo.
Baada ya Kusikia amri Hiyo Jeshi la Polisi
lilikuwa Ene Hilo lilifuata maagizo hayo, na Kumletea gari Hilo, ili asimdhuru
Binti Huyo.
Aidha wakati akitawanya watu wampishe ili aingie
katika gari hilo, Baadhi ya Askari walitokea kwa Nyuma na Kufanikiwa Kumdaka.
JAMAA huyo Aliyetambulika kwa Jina la LIN Mwenye
Umri wa Miaka 34, amewahi Kufungwa Jela Kwa Muda Mrefu, hata Hivyo wazazi wake
Pia, hawakumruhusu amuoe Binti Yule
CHEKI PICHA ZAIDI HAPO CHINI
EmoticonEmoticon