Mkali
wa Rap Nchini marekani The black gorilla, Jackson Curtis “50 Cents”, finaly
ameweka bayana kinachomnyima raha mpaka hivi sasa.
Kwa
mujibu wa maelezo yake, 50 alikiri kuwa moja kati ya Vitu vinavyomsumbua akili,
ni Track yake ya IN DA CLUB, ambayo amekuwa akijitahidi kuikwepa na hata
kutokutamani kuisikiliza kwa namna moja ama nyingine.
FIF
aliongeza kuwa, Ni kweli Track hiyo ilikuwa ni kivutio cha masikio ya Kila mtu
na mpaka hivi sasa ikigongwa sehemu yoyote, bado inakubalika,jambo ambalo huwa
linamtesa kwa namna moja ama nyingine.
Sababu
kubwa za kusumbuliwa na Track hiyo ambayo ilitoka rasmi mnamo mwaka 2003 katika
Albam ya GET RICH OR DIE TRYING, ni kwamba tangia amefanya Kwaju hilo, hajawahi
kutengeneza tena Wimbo wowote ambao utafikia Level ya In Da Club.
Licha
ya Kurudi mara kadhaa katika game, Fifty anakiri kabisa kuwa mara nyingi Wimbo
huoUmekuwa ukimpa mawazo sana, na hata kumuumiza akili, hasa akitizama namna
ambavyo anaweza kufunika kwaju hilo
EmoticonEmoticon