Ohooo..Ushalalalaaaaa..kama ulikuwa unakereka
sana na Mijimaneno ya Kanye West, BABA NORTH WEST Himself, amesema kuwa
hatozungumza chochote kibaya dhidi Mtu yeyote Kwa angalau miezi Sita
Katika Moja Ya Tour zake katika Jiji la TORONTO
Nchini marekani, amesema kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuukaribisha Vema Mwaka
Mpya wa 2014, na hata kujipanga kufanya yaliyo mazuri katika Mwaka Huo Mpya.
Pia kanye aliongeza kuwa, ili kudhihirisha hilo,
katika Show Hiyo, ndio imekuwa mara yake ya Mwisho Kutamka maneno mabaya na
machafu kwa Mtu yeyote na Juu ya Kitu chochote.
Hivi sasa kanye West bado yuko katika wakati
Mgumu wa Kukopi Wimbo wa Bound kutoka PONDEROSA TWINS PLUS ONE, ambapo yeye
kanye aliutumia na Kuuita BOUND 2, huku akiwa amemshirikisha Mchumba Wake Kim
Kardashian
EmoticonEmoticon