HAINA
HAJA YA KUGUNA GUNA..Inabidi kusikia Nini ambacho kimeweza kutokea. Mara nyingi
tumekuwa tukisikia ndoa za mastaa zinavunjika kwa sababu mbali mbali, lakini
Kuwa Bize ndo imkuwa sababu kubwa kabisa.
Jana
kupitia Mtandao wa hollywoodlife.com, zilitolewa taarifa kuwa kunauwezekano wa
Ndoa ya JAY Z na Mkewe BEYONCE imeingiwa na Dosari, na Bey yuko katika harakati
za kudai talaka.
Kwa
mujibu wa Chanzo kilichoulizwa kuhusu Ishu hii, kilidai kuwa, wawili hawa
wamekuwa Mbali kwa Muda Mrefu wakifanya Shughuli zao hasa za Muziki.
Aidha
imebainika kuwa, Mwanamama Beyonce alihisi kuwa Mume wake huyo ambaye Jina lake
halisi ni Shawn Carter, amekuwa Bize sana kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu
hasa kama Mume na Baba wa Mtoto wao waMiezi 19, BLUE IVY
Pia
Chanzo hicho kiliongeza kuwa, hatua ya Jay Z kusafiri kwenda Bara la Ulaya kwa
ajili ya Shughuli zake, na hatimaye Beyonce kupiga Tour yake ya MRS CARTER TOUR
hukooo Australia, ilileta Mtafaruku, huku Beyonce akihisi kuwa Mume wake
ameanza kusahau majukumu yake.
Katika
Ufafanuzi, Chanzo hicho kilidai Bey alikuwa anahitaji Jay Z waambatane naye
katika Tour yao, ili waweze kuwa karibu hasa kuilinda Ndoa yao na hata familia
Yote Kiujumla.
Tofauti
na hayo yote, Jay Z aliweza kufanya jambo la Busara kuahirisha mishe zake, na
kumfuata Beyonce Australia alipokuwa akiendeleza Tour yake, ili kuweza kumaliza
Tofauti zao
EmoticonEmoticon