Na Ntty E
Kama Kawaida, Kila Wiki lazima Watu qwaingizwe Kikaangoni
ili Mtu aweze kusepa,na wengnewaeze kusurvive kwa ajili ya kusaka Ushingi.
Wiki hii Mchakato ulikuwa Mgumu Kidogo kiasi kwamba ilileta Kimuhe
muhe cha Washirikia kuchaguana mara kadhaa ili apatikane Mtu wa kwenda
kikaangoni juma hili.
Lakini Mwisho wa Siku Washiriki watatu wakapatikana, hali
iliyoleta utofauti na Utaratibu wa kawaida,ambapo huingia 7 kikaangoni, na
Wawili kutoka.
Walioingia Kikaaangoni Juma hili ni Hawa
Annabel (KENYA),
Elikem (GHANA), na Sulu (ZAMBIA)
WAKATI Watatu hao Wakiingia Kikaangoni huku Watanzania
tukizidi kupeta ndani ya Jengo Hilo la KAKA MKUBWA, Mtanzania Nando pamoja na
Mnamibia DILISHI wameonekana kumalizaTofauti zao.
Kikubwa ambacho kiliwafanya wawili hawa Kugombana, ni
Kitendo cha NANDO kushindwa kuhifadhi masuala ya Kibinafsi hasa
walipokuwawakitaniana Wao wawili, na Badala yake amekuwa akiyafikisha Kwa watu.
Sababu kubwa ambayo
ililetaq Mzozo ilikuwa ni Baada ya NANDO Kutangaza Kwa watu kuwa, Mwanadada
DILISH alimshika UUmewake wakati wapo Bafuni,jambo ambalo lilimuudhi sana
Mwanadada huyo, huku akilalalamika kuwa, Nando Pia amekuwa akimshika makalio
yake mara Kadhaa,likini hakumwambia Mtu,maana alichukulia ni Masuala ya Utani.
EmoticonEmoticon