Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo
iliyoko dodoma
kwa jina la celestine john nyaumbana
ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa ajili ya
Masomo.
Dada huyo anasema amekuwa katika mapenzi na padri huyo tangia akiwa Fratel,akawa
Shemasi na sasa ni padri nasuala hilo ni siri yao na wazazi wa pande mbili hadi
wamezaa mtoto anaitwa Agnes(3).
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma alikuja Dar kumfuata Mpenzi wake huyo
ili ajue
hatima ya huyo
mtoto wao....
Sasa wakati wapo dar padri huyo alimuomba mpenzi wake huyo
watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...
Walipofika huko
wakati wapo katikati ya poli padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia
dada huyo kwa madhumuni ya kumuua na
kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua .....
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani zinaonyesha kuwa Mwanamke
huyo aliokolewa na Wasamalia wema na kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa
matibabu!!!
EmoticonEmoticon