Baada ya siku chache kupita Tangu rais wa wasafi,Diamond
Platinumz kufanya show kali ya masaa matatu non-stop akiwa na Dancers wake na
kufanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa nchini humo na kufanikiwa kuongeza
muda wa kufanya tena show,but royund hii imekuwa zamu ya Queen of Zouk nchini
Hafsa Kazinja kwenda kupiga show huko U.S of A.
Latest Infoz kutoka kwa President wa kampuni ya J & P
Entertainment bwana Peter Ligate,
zinasema Hafsa Kazinja tayari ameshawasili nchini Marekani na
anategemewa kufanya shows zisizopungua 5 katika miji ya WASHINGTON DC, OHIO,
TEXAS, NEW YORK nk. Show yake ya kwanza itakuwa tarehe 22 September 2012.
Baadhi ya wasanii ambao Ligate chini ya J & P amewahi kufanya nao shows nchini humo ni
pamoja na Ali Kiba, Mr Nice, Khadija Kopa, Linah, Diamond na hivi sasa ni zamu
ya Hafsa Kazinja. Hope hitmaker wa
“Presha” hatowaangusha mashabiki wake na atawapa Burudani nzuri kama
alivyofanya rais wa wasafi Diamond.
Kweli Hard works pays, hii ni changamoto kwa wasanii wote
kama mtajituma then you will be recognised anywhere. Keep it up guys.
EmoticonEmoticon