Baada ya kukabiliwa na scandal kubwa ya kupanga njama za
kumuua Ali Kiba, Khalid Mohamed aka Top in Dar, amezungumza na kusema Ali Kiba
na mama yake wamekosa la kufanya na anawaona wajinga wakubwa.
Akizungumza kwenye kipindi cha Tagz Weekly cha DTV, msanii
huyo amesema huenda Ali Kiba alienda kwa mganga ambaye alimwambia TID anataka
kumuua.
Msanii huyo wa ‘Nyota Yangu’ aliongeza kuwa kutokana na
kusingiziwa kitu asichokijua, kamwe haiwezi ikatokea siku atampigia tena simu
Ali Kiba aliyekuwa mshikaji wake wa karibu.
“Siwezi naogopa,” alisema. “Naweza kumpigia simu nikaambiwa
sasa ndo natamtafuta kumuua, achana naye tu mwache yeye aendelee na vitu vyake,
because I felt he and his family were up to it, mama yake namuona sana, najua
mama yake hanijui hajawahi kuniona hata siku moja.
Ali Kiba kwa kitu
gani ambacho amefanya yeye mimi nimfanyie baya? Nipo na watu kibao pale nao
wamejilist eti nataka kuwaua sasa mimi hela ngapi nitatoa kuwaua watu wote
wale? For what purpose watu kibao wamejilist. Am not gonna tell you what reactions I’m gonna do, I’m
keeping it to myself, I aint gonna talk about it, seriously they are stupid,
yaani they should come up with the best concept.”
Pia Top In Dar alisema ameshakutana na Diamond ambaye
amesema hata haelewi kinachoondelea na hana tatizo naye.
MIKWAJU MATATA YA TID
1. Zeze- Ft. Jay Mo
2.Siamini.
3.Mtanzania.
4.Watasema Sana-Ft Nazizi
5.Nyota Yako.
MIKWAJU MATATA YA ALI KIBA.
1. Sikuoni- Ft Zahrani
2. Cinderella
3.Nakshi Nakshi Mrembo- Ft. Hakeem 5.
4. Mali Yangu
5. Usiniseme.
6. Single Boy- Ft. Jay Dee
7. Run Dunia.
EmoticonEmoticon