HALI ya afya ya Dkt. Ulimboka aliyepelekwa nchini Afrika ya Kusini yadaiwa kuwa mbaya baada ya kudaiwa kupumua kwa usaidizi wa mashine maalum ya kupumulia | ||
Kwa taarifa ilizozipata mtandao huu, mmoja wa madaktari wa karibu kwenye jopo la kushughulikia afya ya daktari huyo zilisema kuwa hali ya Ulimboka ni mbaya ambapo hata Kituo cha Utangazaji cha Uingereza, BBC kilitangaza hali ya daktari huyo |
WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon