WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
LENZI YA MWAKA NCHINI UGANDA (KATIKA BURUDANI)
Mapacha Wa P. SQUARE (Peter and Paul) Mwezi huu wa 12 (DECEMBER) walidondosha Bonge Moja La SHOW kwa Wala Bata wa Uganda,. Kwa Mujibu wa Wala Bata wa Uganda, SHOW hii ilikuwa ni Kubwa sana na Ilichangamka Sana kuliko vile ambavyo watu walitarajia.
Kwa Mujibu wa Mwandishi wa Habari wa BLOG HII, NAHCEEB ABOUD ambaye alikuwa katika Tamasha Hilo Nchini UGANDA, anasema kuwa lilikuwa ni Tamashja Zuri la Kufunga Mwaka, ambalo kamwe halitosahaulika kwa Wakazi wa Uganda.
P. SQUARE wakiwajibika kama akawaida
Kama Unavyowaona
Dk. Jose Chameleon alikuwepo kama Kawaida
Wadau walishindwa kabisa Kuzuia Mizuka yani
Huyu Mwanadada alinaswa na LENZI YA MLA BATA akiwa anaongea na Simu...Mitandao Mingi Nchini Uganda walimtafsiri vibaya sana Mwanadada huyu kuwa alikuwa amezima
VAMPINO (VAMPOS) alishusha Libeneke Haswa
Watu hawakutaka Kuvikalia Viti Vyao kabisa...........................
VIP iliweka kando U-VIP Wao na kunyoosha Mikono Juu kama Unavyo waona... Chezea Alingo Wewe?
Utamwambia nani atulie wakati ana "MIDADI" ya kutosha.....
Beatiful Lady CINDY hersel alikuwepo kushow love kwa Wadau wa BATA...
VIP ilijaa kama Hivi...na ilikuwa Imesizi kabla P.SQUARE hawajashusha Mzigo wao.....
PICHA NA NAHCEEB ABOUD
SALAMU ZA HERI YA MWAKA MPYA KUTOKA KWA VIONGOZI WETU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk
Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013,kwa wananchi
wa Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,
Rais Shein amewasihi wananchi kuendela
kushirikiana na Serikali yao katika
kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa
rasilimali pia kuzingatia taratibu za
kisheria, kwa kuwa na elimu bora ya rasilimali hizo.
**********************************************************************************************
President Yoweri Museveni, of UGANDA
President Yoweri Museveni has
congratulated Ugandan upon completing 2012 and wished them a prosperous new
2013.
In his New Year message, the
President said: “I greet all of you and congratulate you on finishing 2012 and
wish you a prosperous 2013. I extend
condolences to the families who lost their dear ones in the year that is just
ended.”
The President noted that the
years 2011 and 2012 were full of economic challenges but were also full of
economic opportunities for Uganda.
He attributed the economic
challenges partly to global financial crisis in Europe and the USA.
AKILI YANGU ILIVYO FINYU
Sisi Ndio Watanzania Bwana ! Hata mfanye hatutobadilika ! Hata Mtupeleke wapi , Hatubadiliki NG'O !!!
Ilianza Kwenye Kusajili LAINI ZA MITANDAO ya Simu zetu za Mkononi. Serikali mkaimba weeeeee...Mkaimba weeeee...Mkaimba weeee...Mkaimba weee...Kila Siku Mkalia weeee...Lakini Wimbo haukuvutia. He, Si ilivyofika Mwisho Tuakajaa sote kwenye vibanda vya Simu?.
Haya, Likaja Suala la VITAMBULISHO Vya Taifa...Mkaimba weeee...Mkaimba weee...Mkaimba weee Mkaimba weee..Mkalia weeee...Lakini Bado wimbo haukuvutia. He ! Si ilivyofika Mwisho tukaanza kugombana na Waandikishaji wa Huduma Hiyo?
Haya Tena....Limekuja suala la DIGITALI. Mkaimba weee...Wapi...Mkaimba weeee...Wapi...Mkaimba weeee Wapi. He, sasa si unatuona tunavyojazana kwenye Maduka ya Vinga'muzi?
Sasa Je, Sisi Ndio Watanzania..Mkandarasi wa Vichwa Vyetu alishafariki Muda Mrefu
PICHA NA LOYCE AKOTH
CONFIRMED : KIM KARDASHIAN NI "MAMA KIJACHO"
Here We Go !!!
Baada ya kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi kuanzia APRIL Mwaka Huu 2012, hatimaye Mwanadada KIM KARDASHIAN amepata Ujauzito ambao utamfanya yeye na Mpenzi wake Rapa Kane West Kuitwa "Papa & Mama"
Habari hizo hivi sasa zimeshasambaa katika Mitandao mbali mbali ya Kijamii huku zikidhirisha rasmi kuwa KARDASHIAN Tayari amenasa Katumbo na Hivi Sasa Ni mama Kijacho.
Baada ya kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi kuanzia APRIL Mwaka Huu 2012, hatimaye Mwanadada KIM KARDASHIAN amepata Ujauzito ambao utamfanya yeye na Mpenzi wake Rapa Kane West Kuitwa "Papa & Mama"
Habari hizo hivi sasa zimeshasambaa katika Mitandao mbali mbali ya Kijamii huku zikidhirisha rasmi kuwa KARDASHIAN Tayari amenasa Katumbo na Hivi Sasa Ni mama Kijacho.
FROM MY FACE BOOK WALL
Lutego "Lut B", My Video Production Tuitor during my College Moments at Royal College Of Tanzania (RCT(. He is the employee at GRM Production. I do Love and appreciate him because he made me my Self in My Talent. Happy New Year of 2013
Mhhhh.... Frankly Speaking, I was about today when I was Laughing at this Photo Posted by my Friend MASANJA MKANDAMIZAJI..Can you Imagine?....Do you Think this Man can finish all those Stuffs arround Him?...Come on ....
My Best Frienda Noorjan "Noorah"....She was my fellow Student at My College (RCT) as well as my Hostel Mate in SINZA VATCAN, where we Lived Happily. I real Miss her, and Love Her alot. HAPPY NEW YEAR NOORJAN.
Come on you Little Boy...Will You shut that "Bad smelling" mouth of Yours?....You are about to kill us buddy. Haha, that's my Home boy Richard "Virus" himself. I dont realy know if he was Hungry, ar awake by that Time. HAPPY NEW YEAR.
Those are some of all i have got on my facebook Wall. Visit me on my facebook Account, www.facebook.com/ Frank Magnus Joachim.
TUKIO LA KUMPIGA RISASI PAROKO LAANZA KUSHUGHULIKWA..WAWILI WAKAMATWA
Na Mohammed Dewji
Watu wawili wanashikiliwa na makachero wa Jeshi la Polisi
kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Padre Ambrose Mkenda wa Parokia ya
Mpendae visiwani Zanzibar.
Naibu Mkurugenzi wa
Upelelezi Zanzibar, ACP Yusuf Ilembo, amesema Kunaswa kwa watuhumiwa hao,
kumefanikiwa baada ya juzi serikali kutuma makachero kutoka Bara kuungana na
wenzao wa Zanzibar kufanya uchunguzi wa kina kubaini waliohusika na shambulio
hilo la kinyama.
Padre Mkenda alipigwa risasi na watu wasiojulikana siku ya
Krismasi, nje ya nyumba yake majira ya saa 12 jioni, akitokea kanisani.
Alishambuliwa akiwa ndani ya gari lake na kuanguka.
Ilembo alisema polisi itahakikisha wale wote waliohusika
watatiwa nguvu na kukabiliana na mkono wa sheria, watuhumiwa hao ambao majina yao yamehifadhiwa
kwa sasa kupisha uchunguzi, wanaendelea kuhojiwa na makachero hao visiwani
Zanzibar.
Ingawa uchunguzi wa serikali unaendelea, lakini wadadisi wa
mambo ya siasa wanalihusisha tukio hilo na uhasama wa kidini.
Tukio la kushambuliwa kwa padre huyo, linafanana na lile la
kumwagiwa tindikali kwa Katibu Mkuu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Fadhil Suleiman.
Hata hivyo katika hali ya kushangaza, hadi sasa hakuna mtu
yeyote aliyeshikiliwa kuhusika na tukio la Mufti kumwagiwa tindikali, ambalo kwa namna moja au nyingine, limekuwa
likihusishwa na mitazamo tofauti ya kisiasa.
Subscribe to:
Posts (Atom)