UNADHANI NUH ATAIMBA MAUMIVU ALIYOPATA TOKA KWA SHILOLE?


Na Baba Juti
BAADA ya Ukimya Mwingi, sambamba na Maumivu ya "Kibuti" alichopokea toka kwa Ex-wake Shilole, Hatimaye Nuh amethibitisha Ujio Wake Mwingine.

Kupitia Account yake ya Instagram, Nuh aliandika :
"Najua mmenimiss saaaana,Soon kitu kipya na kitamu kinatoka.kaa tayari
#GoodMusic"

Related Posts :