PICHA : JOHANES MAGNUS JOACHIM, Mdogo Wangu anayenifuata..Ninampenda Sana Sio Siri
Kihome home tumezoea kumtania "Dokta" coz ya Miwani yake na Combination yake ya Science. Hivi sasa Bwana Mdogo huyu anapiga KIDATO CHA SITA, Pale BENJAMINI MKAPA HIGH SCHOOL, Mitaa ya Kariakoo, Jijini DSM
Maskani yake ni Hostel za AL- HARAMAIN pale pale K/KOO. Kinachonishangaza ni Jinsi ambavyo Wadogo zangu wote (Yeye na Derick) ni mashabiki wakali sana wa Soka, na Timu wanayoipenda ni ARSENAL "THE GUNNERS", wakati Mimi na Kaka Yetu Mkubwa MICHAEL "Kaijage" ni Mashabiki wakubwa wa MUZIKI asikudanganye Mtu.
Binafsi, Nwapanda Sana Wadogo Zangu na Kaka Yetu Mkubwa, na Ninajivunia sana Kuwa Nao Maishani Mwangu
VIONGOZI WAPYA WA BONGO MOVIE HAWA HAPA...JACQUELINE WOLPER na IRENE UWOYA Wamo...
MWENYEKITI MKUU Mpya wa BONGO MOVIE, Vicent "Ray Kigosi akizungumza Jambo na Wana-Bongo Movie Wenzake...
Msanii wa Movie na Nyimbo aina ya Mduara, SHILOLE akipiga Kura kuwachagua Viongozi wapya wa BONGO MOVIE
Mwenyekiti wa Zamani Wa Bongo Movie, Jacob "JB" Stephen, akimpa Mkono wa Pongezi Jacqueline Wolper aliyechaguliwa kuwa MAKAMU MTUNZA FEDHA wa Bongo Movie
Kutoka Kushoto ni Chiki Mchoma (KATIBU MKUU MPYA), Vincent "Ray" Kigosi (MWENYEKITI MKUU MPYA) na Jacqueline Wolper (MAKAMU MTUNZA FEDHA)
KUTOKA KUSHOTO : Irene Uwoya (MAKAMU MWENYEKITI MPYA) na Chiki Mchoma (KATIBU MKUU MPYA)