HATARI : HIVI NDIVYO KUNDI LA UAMSHO LILIVYOHARIBU HALI YA HEWA TENA ZAZNIBAR MAPEMA LEO HII

Add Comment

 Barabara ya Darajani Visiwani Zanzibar. Askari wa kutuliza ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la uamsho ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha mawe kwa askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa Uamsho Sheikh Farid.


Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.













Related Posts :

WASHIRIKI WA SHINDANO LA REDDS MISS TANZANIA KATIKA ZIARA YAO KWENYE MAPANGO YA AMBONI TANGA

Add Comment

 Warembo Hao wakioneshwa Baadhi ya Maajabu Katika Mapango Hayo

 Wakendelea Kutalii na Kuona Maajabu katika Vivutio Vyetu

 Wakifuatilia Kwa Umakini Kabisa Mapango hayo

 Mmoja wa Warembo wanaowania Taji hilo la REDDS MIS TANZANIA 2012 akipita Katika Pango lilimo ndani ya Vivutio Hivyo

 wakitizama Kwa Umakini Kabisa

Wakiendelea Kudadisi Mambo mbali mbali

Warembo Wakipunga Mkono

Related Posts :