BSS 2015 KUWA ORIGINAL: MWANZA NDIO TUMEFUNGULIA
DHAMIRA Ikiwa Ni Moja Tu, Kuibua na Kufikisha Mbali Vipaji ambavyo Vimejificha Nchini tanzania, Tayari jiji la Mwanza Limedhihirisha Kuwa kuna Vipaji vya kutosha (Vilivyo Bora, Vinavyochechemea na Vinavyozingua) Kutokana na "Nyomi" ambalo Liliweza kujitokeza Pale LA KAIRO HOTEL katika Siku za Usaili.
Majaji ambao walionekana kuwepo na kutoa Support katika Mchakato huo, Ni pamoja na RITHA PAULSEN (Madam Ritha), SALAMA JABIR na MASTER JAY. Tunaamini mikoa Mingine itafanya Vizuri Pia katika Mchakato Huu wa kumpata Mshindi Husika.
NITAMUONA SIWEMA NI MNAFIKI AKIJA KUMTEMBELEA MWANAGU HAPO BAADAYE- NEY WA MITEGO.
Na BLACK TOUCHEZ
Ney Wa Mitego
atamuona Siwema “Mnafiki” pindi atakapokuja Kumtembelea na kumuona Mtoto huyo
baadaye akishakuwa Mkubwa
Ney amesema, licha
ya mama wa mtoto huyo kuwa na mawasiliano na ndugu zake wengine kutoka familia
yake, kama mama anayetakiwa kumjali mtoto wake mdogo, hajawahi kusikia hata
jitihada ya aina yoyote ya Siwema kujaribu kumuona mtoto, kitu ambacho
akikifanya hapo baadaye, binafsi atamuona kuwa ni mnafiki.
Bofya Hapa Kuingia kwenye Website Yet ya BLACK TOUCHEZ
www.blacktouchez.com
Related Posts :
“UPEPO MZURI UKIPITA, MARASHI YAKASIKIA, MAMBO YATAKUWA KAMA ZAMANI”- KAULI YA OMMY DIMPOZ JUU YA DIAMOND
Na BLACK TOUCHEZ.
SIKU ya Ijumaa Usiku kupitia kipindi cha FNL Cha
EATV, wafukuza mapepo tulifuatilia kwa Ukaribu sana interview ya Ommy Dimpoz
ambaye kila mtu anafahamu vzuri kuwa ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya hapa
255-Bongo Flava.
Licha ya maswali Mengine Yote, Ommy aliweza
kuzungumzia Mahusiano yake baina yake na Swahiba wake wa Kitambo, Diamond
Platnumz, na kudai kuwa, hakukuwa na tatzio lolote baina ya wawili hao.
Lakini Baadaye Mtangazaji SAM MISAGO aliweza
kumbana kuwa, wakati Ali Kiba anaachia Video ya Chekecha Cheketua, Ommy alipost
Instagram kwa ajili ya Promo, ila Kuhusu Ishu ya Diamond Kuomba Kura kwa ajili
ya Tuzo za MTV AFRICA MUSIC AWARDS- MAMA 2015, Ommy hakupost Chochote hata
promo za Baadhi ya harakati zake
Kauli ambayo Ommy Dimpoz aliitoa, ni kwamba
Upepo Mzuri ukipita, marashi Mazuri yakasikika, Kila Kitu Kitakuwa kama zamani,
akimaanisha Baina yake na Diamond.
Unadhani Hii kauli
inamaanisha Nini?

















































