UMASIKINI NDIO ULIOMFANYA WALE ASIRUDI NIGERIA
HATIMAYE
WALE amezungumza rasmi kuhusu sababu ambayo ilimfanya Asipate japo hata nafasi
ya kurejea Nchini NIGERIA
Akizungumza
na Moja ya Redio nchini NIGERIA, Wale ambaye ni memba wa kundi la MMG (Maybach
Music Group), amesema kuwa Umasikini wa wazazi wake ndio Ulimfanya asirudi
Nchini Nigeria.
WALE
amesema kwamba, wazazi wake hao wawili ambao wanatokea katika jamii ya ONDO,
walikuwa wanaishi naye maisha Magumu huko WASHINGTON DC Marekani, lakini
Umasikini wao ndio Uliowafanya Kushindwa hata Kugharamikia Tiket ya Ndege
ambayo Ingemfanya apate nafasi ya kurudi Nigeria.
Aidha
Wale ambaye Asili yake ni NIGERIA, anadai kuwa akiwa na Umri wa Miaka 15
alijiingiza katika Ajira, ambayo hata hivyo mshahara wake usingeweza kumfanya
apate gahara za nauli.
Pia
Wale akaongeza Kuwa, alifanikiwa kujiunga Na Elimu ya Chuo ambayo hata hivyo
hakufanikiwa kumaliza, ambapo alipigana nayo Chini baada ya kupata Dili la
Muziki ambalo anakomaa nalo hadi sasa
Related Posts :
BT PROG. MANAGER : KUISHI NA WATU VIZURI NI MAFANIKIO YA BAADAYE
PROGRAMMANAGER wa BLACK TOUCHEZ, Frank Magnus Joachim (Kushoto), akiwa na Mgeni wake JOEL RYAKA Kutoka Neem FM Mwanza, alipomtembelea katika Studio za 99.4 Metro Fm Mwanza.
Wawili hawa wamesoma Chuo kimoja (ROYAL COLLEGE OF TANZANIA)
Frank Akiwa na Jaktan Msafiri.....
Related Posts :
ISABELLA: MA-DEEJAY WANATUTAKA KIMAPENZI, WANAUME WANAPENDA KUTUSHIKA SHIKA TUKIWA JUKWAANI...SCORPION GIRLS KUFANYA KAZI NA JOSE CHAMELEONE
Na
TEAM JAM SESSION
KUPITIA
WIRE MKALI
ya JAM SESSION
ndani ya 99.4
MHz, METRO FM Mwanza, Isabella ameweza kuzungumza Mengi Kuhusiana na
Muziki wake, Changamoto ambazo Zinawakabili, Misha yake na Luten Karama, Pamoja
na Collable na Msanii JOSE CHAMELEONE
MsikilizeMwenyewe
wakati Ninapiga naye Stori
Related Posts :
BLACK CHART: DARASA NI KIKOMO..HAKAMATIKI HATA KWA KASI GANI
WIKI HII Katika BLACK CHAT ya BLACK TOUCHEZ,
kumekuwa na Ubishi wa hali ya Juu hasa baina ya wasanii wawili DARASA na
SQUEZER katika Kusikilizwa kwa Nyimbo yao katika Account ya soundcloud.com/frank7788.
Lakini Ghafla Tu, Darasa alianza Kuwakimbia
Wapinzani Wake Wanne SQUEZER, VANESSA MDEE, NATTY E na SUZY “MUTESSY THE MATRON”
Wiki Ilyopita VANESSA MDEE alikuwa Kinara, huku
NATTY E akiwa nafasi Ya Tano.
Lakini Wiki Hii Kumekuwa na Mabadiliko. WAKUBWA
WA JIJI wameagwa BLACK CHAT, huku Msanii SUZY akiwa ni Ingizo Jipya liliamuliwa
na Wasikilizaji wa Track Hizo
NATTY E amepanda mpaka nafasi ya NNE Wiki Hii
huku VANESSA MDEE akishushwa Mpaka nafasi ya Tatu
|
NO.
|
MSANII
|
WIMBO
|
IDADI YA KUCHEZWA
|
|
1
|
DARASA
Feat. MCHIZI MOX & SHILOLE
|
MIKONO JUU
|
263
|
|
2.
|
SQUEZER
Feat. BELLE 9
|
MTEMI PESA
|
99
|
|
3.
|
VANESSA
MDEE
|
COME OVER
|
89
|
|
4.
|
NATTY
E Feat KALA JEREMIAH
|
VUTA TASWIRA
|
54
|
|
5.
|
SUZY
“MUTESY THE MATRON”
|
I SAW YOU
|
16
|














