| HALI ya afya ya Dkt. Ulimboka aliyepelekwa nchini Afrika ya Kusini yadaiwa kuwa mbaya baada ya kudaiwa kupumua kwa usaidizi wa mashine maalum ya kupumulia | ||
| Kwa taarifa ilizozipata mtandao huu, mmoja wa madaktari wa karibu kwenye jopo la kushughulikia afya ya daktari huyo zilisema kuwa hali ya Ulimboka ni mbaya ambapo hata Kituo cha Utangazaji cha Uingereza, BBC kilitangaza hali ya daktari huyo | ||
Masikini Dokta Ulimboka........
Dk. Steven Ulimboka.
TOM CRUISE BALAA!!!!
Niropokeeee!!!!...Yaaaah..Mule Mule!!
Lile Jarida Kareeeee! La Forbes limetoa Taarifa ama Data hasa Kwa Mastaa wa hollywood wanaoongoza kwa kupewa Mkwanja Mzito kila Wanapopiga mzigo a.k.a kuigiza.
Katika Top list ya Vichwa Vinavyoongoza kwa Kulipwa Mkwanja Mzito, Migizaji Tom Cruize ambaye ameigiza Movie Kibao Kama Vile MISSION IMPOSIBLE 1-3, GHOST PROTOCAL na kadharika amekuwa Kinara baada ya kulipwa almost zaidi ya Dollar za Kimarekani Milioni 75 ($ 75 Dollars) ktika Mwezi Mei 2011-Mei 2012 kupituia Matangazo mbali mbali Pia...
Tom Cruise
Tom Cruize On Action
List yenyewe ni Kama Ifuatavyo.....
1.Tom Cruise – $75 million
2Leonardo DiCaprio – $37 million
3. Adam Sandler – $37 million
4.Dwayne Johnson – $36 million
5. Ben Stiller – $33 million
6.Sacha Baron Cohen – $30 million
7. Johnny Depp – $30 million
8. Will Smith – $30 million
9. Mark Wahlberg – $27 million
10.Taylor Lautner – $26.5 million
11. Robert Pattingson – $26.5 million