#DakaHiiFasta: MWANAMKE AMPIGA MUMEWE BAADA YA KUBAINI ANA UUME MKUBWA WAKIWA HONEY MOON
Na David Ojuang - BIG MUTOTO
Mwanaume amemshushia "Mkito wa Kipigo" Kizito Mume Wake Baada ya Kubaini kuwa ana "Uume" Mkubwa wakiwa Honey Moon, baada ya kufunga Ndoa.
Kwa Mujibu wa Info ambazo Tumezinyaka, inasemekana Kuwa, jamaa huyo anayetambulika kwa Jina la Mnobo Madyibi Mwenye Miaka 32, alikutana na kipigo hicho baada ya kuchomoa Uume huo, ikiwa ni mara ya kwanza kabisa kukutana kimwili na Mke Wake huyo baada ya kuvumiliana mpaka watakapofunga Ndoa
Ingawa inasemekana kuwa Bibie huyo alikuwa ni Bikra, inasemekana kuwa , Baada ya Mwanamke kubaini Maumivu makali sana , aligundua kuwa, mzigo huo ni Mkubwa mithili ya "tango".
Ingawa Bibie huyo aliuona mzigo huo wakati jamaa anachojoa nguo yake ya Ndani, bado inasemekana hivi... maumivu yalimkwaza sana bibi huyo, na kuamua kumtungua na Chupa ya Wine
Tukio hilo limetokea Zanzibar, na hivi sasa wawili hao wanahitaji suluhisho hasa la kiushauri
COLONEL MUSTAPHA: KUNA UBAYA WOWOTE NIKIUZA NGUO?
Na BDavid Ojuang "Big Mutoto"
INAWEZEKANA kabisa kuwa, Kenyan Rapper, Colonel Mustapha, amekwazwa na
kuandamwa na raia baada ya kuanza biashara ya kuuza Nguo, kitu ambacho kimeamua
afungue mdomo na kuhoji kile ambacho wanamfanyia
Kwa Mujibu wa Info ambazo zipo, ni kwamba Rapper Huyu ambaye ana track
aliyomshirikisha Brown Mauzo- PANGA PANGUA, hivi sasa kimkwanja amechacha balaa,
na hata kimuziki amekaukiwa sana.
Lakini akijibu tuhuma hizo, Colonel Mustafa amedai kuwa, hayo yote hasa la
muziki, linatokana na yeye kujikita zaidi katika Biashara ya Nguo pamoja na
Vito vya thamani, ukijumuisha viatu, kofia.
Pia Colonel ameongeza kuwa, yuko katika Mpango wa Kufungua Duka lake la
Nguo jingine ambalo litapatikana Nairobi
Lakini Tofauti na hilo, Mustafa amedai kuwa, wengi wamekuwa wakimuandama
kuwa hana jipy, ndo maana ameanza kuuza nguo, kitu ambacho kimemfanya ahoji
kama ni kosa kufanya biashara Nyingine ya Ziada akiwa amechukua Break Kidogo
katika Music Industry
Lakini Pia Mustafa ambaye sasa hivi ameachia Track na Mejja - LOBOKO,
kufanya shughuli za ziada , haitengenezi picha kuwa, amefulia kimuziki na
kimkwanja hata kidogo.
Related Posts :
MAMA BEYONCE: NILIANZA KUJIPENDA KWANZA KABLA SIJAINGIA KATIKA MAHUSIANO MAPYA
![]() |
| Beyonce Knowles (Kushoto ) akiwa na Mama Yake Mzazi TINA LAWSON |
Na Baba Juti
KILA mtu anafahamu Vizuri kabisa kuwa Mama yake Beyonce, TINA LAWSON (Zamani
Tina Knowles) aliachana na Mumewe MATHEW KNOWLES, baada ya kubain kuwa
anamsaliti na wanawake wengine, na tayari ana watoto mbali mbali Nje ya ndoa.
Lakini Baada ya Muda Mfupi hivi, Bibie Huyo aliamua kuolewa na Kuanza
kuitwa Tina Lawson, akiwa katika Umri Mkubwa kabisa, kiasi kwamba kila mtu
alianza kutafakari kama huyu bibie atakuja kuenjoy ndoa yake.
Kwa Kinywa chake mwenyewe, mama Beyonce anadai kuwa, tofauti na wanawake
wengine ambao hukata tamaa baada ya kuachika, yeye alikuwa anaamini kuwa, kuna
Maisha hata baada ya talaka, na ndo kitu ambacho kilimpa nguvu
Ingawa anadai kuwa kuna muda alikuwa anatafakari kuwa, katika kipindi hicho
alikuwa ana umri wa miaka 59, na alikuwa akiendesha shughuli za kampuni yake
ambayo anaisimamia mpaka hivi sasa, hivyo haikuwa rahisi kuamini kuwa kuna muda
atakuja kukutana na mtu hasa mwanaume ambaye atampenda kwa dhati.
Hivyo ili kuondoa Fikra Hizo, alianza kwanza kujipenda yeye kama yeye, na
ndipo akapata Mume Bora baada ya kupigana chini na pasua kichwa wake, Mathew
Knowles ambaye ni baba Mzazi wa Beyonce.
Related Posts :
JUSTIN TIMBERLAKE: ASINGEKUWA MWANANGU, PENGINE KUSINGEKUWA NA MKWAJU WA "I CANT STOP THE FEELING"
Na Baba Juti
JUSTIN TIMBERLAKE, huwa ni mtu ambaye anaweza akakaa kimya katika muzic
Industry kwa muda fulani, lakini akiamua kuibuka, basi anaibuka kiukweli.
Lakini Ujio wake wa Safari hii kupitia Mkwaju ambao unafanya poa sana
katika Charts za aina mbali mbali , umekuwa ni mkubwa na hata kufanya watu
wengi washindwe kumtabiria ujio wake hasa kila anapoachia ama anapohitajia
kuachia Hit song Fulani.
Lakini kama ulikuwa haujui, Kama asingekuwa mtoto wake ambaye sasa hivi na
umri wa Mwaka mmoja na Miezi kadhaa, basi pengine labda usingesikia mzigo wa I
cant Stop the Feeling.
Hii ilikuwa ni kauli ya Justin Timberlake Mwenyewe ambaye alikuwa
akifafanua namna ambavyo Mtoto wake wa Kiume SILAS ambaye alimpata na Mke Wake
JESSICA BIEL aliyemuoa Mwaka 2012, amebadilisha kila kitu katika Muziki wake.
Justin ameongeza kuwa, anaamini kabisa kuwa, wimbo kama I CANT STOP THE
FEELING, hata mtoto wake siku akiwa anausikiliza, basi atafurahia na kusema
hapa kweli mshua ulifanya jambo, maana anaamini pia kuna baadhi ya Nyimbo
ambazo mwanae hawezi kuzisikiliza, so amebadilika kwa kiasi fulani...






